USIKOSE: Tundu Lissu ndani ya BBC ya ukweli, HARD TALK

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,463
2,289
Yule dada wa BBC Swahili Zuhura Yunus masikini ya Mungu hakuwa na weledi wa kujadili siasa za Tanzania na mtu kama Tundu Lissu, sikilizeni BBC ya ukweli kwenye Hard Talk watakavyogongana vichwa na Tundu Lissu, a most vociferous critic of Tanzania's President John Magufuli

Source: Kwinyara Kwinyara Media



Tundu Lissu on Hard Talk.JPG
 


oh yes kumekucha,

Stephen Sackur wa Hard Talk atakuja amejiandaa na ameiva ilani ya uchaguzi wa CCM na miradi iliyotekelezwa na Magufuli administration, na katiba ya CHADEMA na magazeti ya bongo na hotuba za Rais atakuja amezisoma kinyume nyume! Halafu Tundu Antipas itabidi ajibu bifu lake ni nini haswa, kwa nini hayo hayatoshi, na atashuka the historical context, insight and perspectives on the founding of Tanzanian dictatorship since December 1961, jinsi vyama vilivyopigwa marufuku 1965 baada ya Nyerere kutoka China kavaa Chong Lai mnamo February 1965, vilivyorudishwa 1992, na vitakavyofutwa na sheria mpya ya 2019...

ngunguli wa BBC kakutana na ngangari wa CHADEMA, patachimbika

p01dkx2l.jpg



tundu%2Blissu.jpg
 
Huwa namkumbuka sana marehemu Morgan Tsvangirai wa Zimbabwe kila nionapo huu mchakato unaoendelea....

Namtakia mafaniko katika hitaji la moyo wake huyu Bwana Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
oh yes kumekucha,

Stephen Sackur wa Hard Talk atakuja amejiandaa na ameiva ilani ya uchaguzi wa CCM na miradi iliyotekelezwa na Magufuli administration, na Katiba ya CHADEMA atakuja ameisoma kinyume nyume! Halafu Tundu Antipas itabidi ajibu bifu lake ni nini, kwa nini hayo hayatoshi, na atashuka the history and the founding of Tanzania dictatorship since December 1961, jinsi vyama vilivyopigwa marufuku 1964 baada ya Nyerere kutoka China kavaa Chong Lai, vilivyorudishwa 1992, na vitakavyofutwa na sheria mpya ya 2019...

ngunguli wa BBC kakutana na ngangari wa CHADEMA, patachimbika

p01dkx2l.jpg



tundu%2Blissu.jpg
Dadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
oh yes kumekucha,

Stephen Sackur wa Hard Talk atakuja amejiandaa na ameiva ilani ya uchaguzi wa CCM na miradi iliyotekelezwa na Magufuli administration, na katiba ya CHADEMA na magazeti ya bongo na hotuba za Rais atakuja amezisoma kinyume nyume! Halafu Tundu Antipas itabidi ajibu bifu lake ni nini, kwa nini hayo hayatoshi, na atashuka the history and the founding of Tanzanian dictatorship since December 1961, jinsi vyama vilivyopigwa marufuku 1965 baada ya Nyerere kutoka China kavaa Chong Lai February 1965, vilivyorudishwa 1992, na vitakavyofutwa na sheria mpya ya 2019...

ngunguli wa BBC kakutana na ngangari wa CHADEMA, patachimbika

p01dkx2l.jpg



tundu%2Blissu.jpg
Balaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom