Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
toka lini bulgaria ikwa dona kantriiDuh nyie si mnajiita Donor Country? Au mlikuwa mnamaanisha Dona Country?
Sent using Jamii Forums mobile app
toka lini bulgaria ikwa dona kantriiDuh nyie si mnajiita Donor Country? Au mlikuwa mnamaanisha Dona Country?
Na madege tumenunua kwa cash money hata kama hatuna maji tukienda msalani.Duh nyie si mnajiita Donor Country? Au mlikuwa mnamaanisha Dona Country?
Mungu wangu.Hiyo tarehe 20 sizani kama kuna faili liatakalosainiwa yani siku nzima itakuwa ni kutafuta wakalimani wa kusaidia kutoa tafasiri isiyoyaumiza masikio
Mtoa post omba uongozi wa JF waipeleke post yako mwenye jukwaa la siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msigwa siku hiyo atakuwa na kazi ngumu sana.Hiyo tarehe 20 sizani kama kuna faili liatakalosainiwa yani siku nzima itakuwa ni kutafuta wakalimani wa kusaidia kutoa tafasiri isiyoyaumiza masikio
Na madege tumenunua kwa cash money hata kama hatuna maji tukienda msalani.
Bashite na ******Hivi kuna mtanzania anaefurahia Lissu kupigwa risasi zile,na kibaya zaidi serikali imegoma kumpatia msaada wa matibabu kwa mjibu wa taratibu.
Strong man rule ndio tawala kandamizaji?View attachment 999873
Tundu Lissu, Mbunge
Stephen Sackur wa HARDtalk anaongea na mbunge wa upinzani wa Tanzania, Tundu Lissu. Tanzania ni moja ya nchi za Afrika zinazokuwa kwa kasi kuliko zote kiuchumi na kwa idadi ya watu - na pia inatawaliwa na mmoja kati ya viongozi watata kuliko wote barani humo: rais John Magufuli, anaejulikana kama "Tingatinga." Tundu Lissu ni moja kati ya wapinzani wake wakubwa ndani ya nchi, angalau alikuwa hivyo hadi wabeba bunduki walipommiminia zaidi ya risasi 20 mwilini mwake mwaka 2017. Lissu alisalimika na amejiunga tena na mapambano dhidi ya mtawala ambae anamwita dikteta uchwara. Lakini labda Watanzania wanapenda tawala za wakandamizaji?
Matusi ya nn sasa mbwa nyumbu wwMkuuNDU Gai atazidi kupagawa wiki ijayo lazima amtoe kwenye Payroll....Kwa akili ya Ndugai anajua amkimtoa kwenye payroll ndio solution kweli MKUUNDUGAI pamoja na Master/Phd lakini EMpty Set.