Usijifunue....!

Usijifunue....!

■ INTROVERTS wengi ni:-

-Geniuses

-wakimya sanaa

-Hawakurupuki

-Wana marafiki wachache

◆ ILA PIA

-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo

-Wanaonewa sana katika jamii

- Ni wagumu kusamehe na kusahau

-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa

■ EXTROVERTS

-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.

-Wana marafiki wengi sana

-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi

- Ni wepesi kusamehe na kusahau

◆ ILA PIA

-Wengi ni Vilaza

-Wengi ni wambea

-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.

JICHUNGUZE UKO WAPI?
Duh kwaambao hawapendi kuomba msamaha na waongo wanafit wapi?
 
khe yani hizo sifa za kwanza ni kweli iam the one
 
Daah umenifungua mimi ni INTROVERT........
Moja kati ya sign kubwa napenda kushinda ndani siku nzima na kupendelea sehemu zisizokua na misongamano ya watu endapo nitatoka nje
dah tunafanana aise bt mwenza wangu ni extr mimi sifunguki ovyo hata kwa mama yagu sometime hata kwa mchungaj ni ngumu pia.i tell u imenisaidia
 
■ INTROVERTS wengi ni:-

-Geniuses

-wakimya sanaa

-Hawakurupuki

-Wana marafiki wachache

◆ ILA PIA

-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo

-Wanaonewa sana katika jamii

- Ni wagumu kusamehe na kusahau

-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa

■ EXTROVERTS

-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.

-Wana marafiki wengi sana

-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi

- Ni wepesi kusamehe na kusahau

◆ ILA PIA

-Wengi ni Vilaza

-Wengi ni wambea

-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.

JICHUNGUZE UKO WAPI?

Nipo fungu la pili ndo maana sina gonjwa la moyo wala mapafu. Nisaidie kumpa pole ndugu yangu mshana jr kwa yalomfika
 
Kama introvert! Mkuu mbona siku hizi hutupii mawe humu kama kawaida yako?
Mmmh, introvert gani anajiamini namna hiyo??? Wewe unatuzingua tu hahah...
Btw kile kipindi watu walinishauri nislow down eti kasi ilizidi, thats why niko kimya
 
Back
Top Bottom