Usijifunue....!

Usijifunue....!

Mungu na wewe mwenyewe pekee ndio wa kuamini 100%. Hao ndio hawawezi kukusaliti. Binadam mwingine yoyote hajakamilika kama ukiamua kumuamini basi mpe asilimia kadhaa
 
siwezi mwenzenu mpk watu wananisema ntakufa maskinii
Si unajua maisha ni kupanda na kushuka?

Sasa kuna kipindi nilikuwa alhamdulillah basi bwana akija tu kujieleza tayari nimemsaidia. Sasa nilivyoporomoka wakawa wa kwanza kunicheka na kunitangaza.

Now nipo mbali nao kabisaaaaa, hadi nimehama mkoa. Kila anayenipigia simu ana shida nawajibu simple tu "yaani saizi ndio nina maisha magumu hadi kuna muda nalala bila kula, pole sana utapata Mungu atakusaidia"
 
Si unajua maisha ni kupanda na kushuka?

Sasa kuna kipindi nilikuwa alhamdulillah basi bwana akija tu kujieleza tayari nimemsaidia. Sasa nilivyoporomoka wakawa wa kwanza kunicheka na kunitangaza.

Now nipo mbali nao kabisaaaaa, hadi nimehama mkoa. Kila anayenipigia simu ana shida nawajibu simple tu "yaani saizi ndio nina maisha magumu hadi kuna muda nalala bila kula, pole sana utapata Mungu atakusaidia"
yaani utafikiri wewe ndo mm....

ni hvyo hvyo mwisho wanakudharau mpk watoto wadogo kabisaa...biandamu siye acha tu!
 
Hapo ndo nashindwaga kuelewa, kama mtu amekuamini mpaka akakuambia yanayomsibu wewe kwa nini usiwe mwaminifu kwake??? Mie huwa natabia ya kuwaamini sana binadamu lakini wao wamekuwa tofauti, mpaka nawaza labda huyu sio kama yule ila wapii
 
Mi n introvert Yan ukinikosea fanya Kaz kaniomba msamaha napenda sana kukaa na kinyongo sioni Kaz kukununia hata uwe Nan
aiseehh...Mimi ukinikwaza nakupa live n yanaisha hapo hapo!!

hua naumia kukaa na kinyongo sana tuu!!

nikikununia ntawazaaa....nakosa raha!
 
Mimi ni Introvert ila sijajua kama kuwa hivi ni tatizo,kwani kuna wakati huwa mpaka najichukia kwanini niko hivyo,huwa ni mara chache sana kukuta ninamuamini mtu.
 
Trust no body... Even your shadow can betray you sometimes....

Huu msemo mrahis but unamaana Pana sana.
 
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi

Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma

Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..

Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Daaaah, pole mkuu. Ushauri wako wafaa....
 
■ INTROVERTS wengi ni:-

-Geniuses

-wakimya sanaa

-Hawakurupuki

◆ ILA PIA

-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo

-Wanaonewa sana katika jamii

- Ni wagumu kusamehe na kusahau

-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa


■ EXTROVERTS

-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.

-Wana marafiki wengi sana

-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi

- Ni wepesi kusamehe na kusahau


◆ ILA PIA


-Wengi ni Vilaza


-Wengi ni wambea


-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.

JICHUNGUZE UKO WAPI?
Daah umenifungua mimi ni INTROVERT........
Moja kati ya sign kubwa napenda kushinda ndani siku nzima na kupendelea sehemu zisizokua na misongamano ya watu endapo nitatoka nje
 
Back
Top Bottom