Usijifunue....!

Usijifunue....!

Kwahiyo ukija uzi mtu anakituhumu hujaenda suna tujue ndio huyo ulimpa siri zako za ndani?!
 
wengine tukikitoa ndo tunapata ahueni, tuambie alternative ya hili
mkuu ili tatZo mi ninalo mtu akinikorofisha nikisema nakaa kimya basi niKumuona namchukia alafu nakuwa na kInyongo nae ila kama nikikorofishwa alafu Nikiwasimuliza kama wanne au watano moyo unakuwa mweupe.

NB
BT HII KAMA NIMEZINGUANA NA MTU NA SIO KWENYE MAPENZI
 
Tumekuwa waandishi wa maovu yetu wenyewe
 
dah tunafanana aise bt mwenza wangu ni extr mimi sifunguki ovyo hata kwa mama yagu sometime hata kwa mchungaj ni ngumu pia.i tell u imenisaidia
ila mi nauona km ni ugonjwa kwangu siwezi kabisa kuongea mbele za watu, najishtukiaga sana nikiwa nje naona km watu wote wananiangalia mimi na kunishangaa......
Sasa hapa kwenye suala la kutokuongelea matatizo yako kwa watu ndio kunanirudisha nyuma nakosa washauri au watu wa kunipa msaada angalau wa kimawazo
 
Dah pole bt kua jasir ni wewe binafsi unatakiwa ujijengee na upractice.Kuhusu kufunguka penda kufunguka indirect kwa unae mwamin na penda kumwomba Mungu ye ni final
 
Dah pole bt kua jasir ni wewe binafsi unatakiwa ujijengee na upractice.Kuhusu kufunguka penda kufunguka indirect kwa unae mwamin na penda kumwomba Mungu ye ni final
[emoji115] [emoji111] [emoji106] [emoji817]
 
■ INTROVERTS wengi ni:-

-Geniuses

-wakimya sanaa

-Hawakurupuki

-Wana marafiki wachache

◆ ILA PIA

-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo

-Wanaonewa sana katika jamii

- Ni wagumu kusamehe na kusahau

-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa

■ EXTROVERTS

-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.

-Wana marafiki wengi sana

-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi

- Ni wepesi kusamehe na kusahau

◆ ILA PIA

-Wengi ni Vilaza

-Wengi ni wambea

-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.

JICHUNGUZE UKO WAPI?
am neither introvert nor extrovert
 
Jamiiforums ni mtandao anonymous kwanini unaruhusu watu wafunuane mambo yao ya binafsi waliyoyafanya wenyewe nje ya forum?
Nyuzi nzuri mnazifuta huku mkiacha nyuzi za aibu zikitrend?
 
Back
Top Bottom