Usijifunue....!

Usijifunue....!

Huyu shemela wangu sio wakumpa pole aiseee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Naskia eti.... Yendo fundi jf nzima...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji115]
 
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi

Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma

Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..

Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
ha ha! kuna mimtu haijui maana ya neno siri wanahitaji somo..
sasa najiuliza naule mtandao wa ..... sijui hawajui maana ya siri..? mbona walitoa siri za Loading...
 
segmund Freud at work
sigmund-freud-motivation-2-638.jpg
 
uploading of information on the website ,perhaps? Freud ? absence of light is light
 
Pole kwa kujifunua kirahisi mkuu!!........ila jifunue zaidi kwetu ili tujue kiunagaubaga yaliyokukuta!
 
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi

Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma

Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..

Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]


mbona poleee ndugu, watu hawaaminiki hata kwa nukta ukiona unataka kutoa ya moyoni heri uchukue kalamu na karatasi bwabwajaaaa yooooote uyatakayoo upppsss ukimaliza pumzika kidogo utajihisi upo huru kisha ichane hiyo karatasi, finitoooo.
mie mwenyewe yeshanikuta tena kwa watu nilowaamini.
 
yaani mi nikipatwa na tatizo siwezi kukaa nalo....

Kama hivi kuna mtoto ananisumbua humu jf, yaani hata nikikutana na mtu barabarani namsimamisha kuanza kumwelezea kinachonisibu
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom