Usijifunue....!

Usijifunue....!

Jamiiforums ni mtandao anonymous kwanini unaruhusu watu wafunuane mambo yao ya binafsi waliyoyafanya wenyewe nje ya forum?
Nyuzi nzuri mnazifuta huku mkiacha nyuzi za aibu zikitrend?
.
image_search_1521632318105.jpg
 
Haraka sana mkuu haya mambo siyo kabisaa

Oooh mme wangu siyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
😳 😳 😀 😀 Unafuraahi ukinichanganya eeh
 
Pole sana mshanajr, pia tunashukuru kwa tahadhari hii
 
Back
Top Bottom