Usijifunue....!

Usijifunue....!

Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafungukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi

Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma

Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..

Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni kweli kabisa lakini kilichokukuta ni nini maana ili tuone namna ya kucontrol ndimi zetu zaidi
 
Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafungukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi

Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma

Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..

Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni kweli mtupu ndugu yangu ila pole ndio hali halisi kabisa
 
Mambo yaku aminiana yapo kwasisi rangi nyeusi. Ila kwa wenzetu wazungu izo biashara hamnaga.
 
Umesomeka ingawa wengine tuna tatizo la kuamini watu kirahisi labda kwasababu ni waaminifu kwahio tunafikiri kila mtu ni kama sisi.
Yap. I was like that until i learned it the hard way.
Sio kila mtu unamwambia mambo yako.
 
Back
Top Bottom