Mfano unaitwa Julius Jackson Kangayupo jina ulilopewa na wazazi lakini wengine watakupa majina kama haya
- watoto watakuita Baba
- Mkeo atakuita mume wangu
- wajukuu watakuita babu
- Wapwa zako watakuita ..mjomba
- watoto wa mdogo wako watakuita baba mdogo
- watoto wa kaka yako watakuita baba mkubwa
- Mume wa dada yako atakuita shemeji
- Ofisini watakuita .. meneja ...bOSS
- Majirani watakuita baba fulani
- .........mengine unganisha mwenyewe majina ambayo ukiitwa lazima utaitika......