camp konzi
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 178
- 339
ukiachana na yote kwa yote kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Hahahahahaha, kumbe kanaonekana hivyo🤣🤣🤣... Don't judge a book by the cover alaf u hiyo picha nime iedit mimi sio mweusi na sio mfupi..Kwa hako kamkono kako, wewe ni kafupi, keusi, kembamba.... mnakuaga visumbufu na vijuaji sana.
💃💃💃💃
Lamomy kuna jiwe huku nataka nirushiwe uje kuniokoa🤣🤣🤣
Nipo rada hakuna wa kukurushia jiwe 😹Kwa hako kamkono kako, wewe ni kafupi, keusi, kembamba.... mnakuaga visumbufu na vijuaji sana.
💃💃💃💃
Lamomy kuna jiwe huku nataka nirushiwe uje kuniokoa🤣🤣🤣
Kwanza kabisa official kuwa jina langu halisi la de Gunner limerudi kwa hewa..
View attachment 3652829View attachment 3652828
Baada ya vile vyote vilivyo tokea.. Kuhusu kuchapwa ban na kuunganishwa ID. It was all for the better..
Imenijenga badala ya kunibomoa..
And y'all haters am back all charged up now.🔥🔥
Twende kwenye message...
Katika maisha kumekuwa na ile dhana ya watu kukata tamaa.. Wanakata tamaa just because hawaoni results, hawaoni validation kutoka kwa watu, au matunda ya kazi zao hayajioneshi mwanzoni.
Hii imewafanya watu waue ndoto zao na kurudi katika uhalisia unaowataka wawe hasa by outside noise. Sio kwamba watu hawaoni struggle yako, au sio kwamba unacho kifanya sio sahihi, bali bado matokeo hayajatokea ndo maana huoni pongezi.
Wengi katika maisha wako so attached by results ila hawatambui ya kuwa process ndo kila kitu..
Kwenye kitabu cha atomic habits, James clear anakwambia ya kuwa
" you do not rise to the level of your goals, you fall to the levels of your systems"
Mwana riadha hashindi kwa sababu amekimbia haraka kuwazidi wengine, anashinda kwa sababu mwili wake tayari uko accustomed na flexible kwa mazoezi endelevu.
Michael Jordan alifeli na kuiangusha timu kwa ku miss free throws mara kibao, ili aje kuwa the Goat kwenye kikapu
Thomas Edison alifanya majaribio elfu moja kabla ya kugundua bulb 💡
So tambua ya kuwa mafanikio sio overnight, yanakuja baada ya kufuata misingi.
Katika hali ya kawaida, mitandao ya kijamii imeharibu sana namna ya kuyaona maisha na eventually kuwa wavumilivu katika majukumu na mpango yetu ya kila leo. Na ndo maana mimi nimeamua kuweka mpango madhubuti kudhibiti screen time na kuweka jitihada zaidi katika kutumia hiyo free time kwenye kuongeza ujuzi na kukomaa systems zangu niweze kuwa bora zaidi.
Je, Ulishawahi kuwa na malengo ila reality check kutoka nje ilikuvunja moyo na kuacha mazima?
Every action you take is a vote to the type of person you wish to become
Dah nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe, hii tunaita ukweli mchungu hua wana yale mabichwa tunaita bichwa ndonga, na ukiangalia hivyo vidole vyake kama tangawizi za mia mbili ni kama kambilikimo🤔😁Nipo rada hakuna wa kukurushia jiwe 😹
Sema hivyo vidole kama mchapio wa cake 😹😹
Halafu watu wa hivyo wanakuwaga na mibichwa mikubwa kama jiwe fatuma..!!
Mimi sioni shida Kuya sema maana I know me more enough...Ndugu yangu
Kwanza sijui kwanini una amini una haters.
Hauna haters humu JF.
And because you keep thinking about that, it is obvious you created those haters in your head. In the real JF world, they do not exist. With all due respect, you do not need people's approval to be who you are, or who you want to be.
Alafu Haya unayoongea yanakuchora ww zaidi.
ila Mimi Nakujua.Dah nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe, hii tunaita ukweli mchungu hua wana yale mabichwa tunaita bichwa ndonga, na ukiangalia hivyo vidole vyake kama tangawizi za mia mbili ni kama kambilikimo🤔😁
Mimi huwa najiuliza daily hivi how can someone sit trying to pick someone's on the internet.. 😂 Yaani kama wakina lokole walivyomzodoa jux!Dah nimecheka kwa nguvu nusu nipaliwe, hii tunaita ukweli mchungu hua wana yale mabichwa tunaita bichwa ndonga, na ukiangalia hivyo vidole vyake kama tangawizi za mia mbili ni kama kambilikimo🤔😁
Je, Ulishawahi kuwa na malengo ila reality check kutoka nje ilikuvunja moyo na kuacha mazima?
Basi what works for you might not work for me...Binafsi nikiwa na Malengo. Hasa makubwa, naweza hata nisiwambie watu. Na mengi yanakamilika.
Sihitaji mtu aseme naweza au siwezi.
Na kama nikishindwa ni somo nimejifunza.
Kwahiyo. Sihitaji wala siruhusu mtu aniambie ni ngumu au rahisi.
Kwasababu huo uguju au urahisi ni uwezo wake ndio umeuangalia na kuamua. Sio uwezo wangu.
All in all bado ni jeiefu expert membaKwanza kabisa official kuwa jina langu halisi la de Gunner limerudi kwa hewa..
View attachment 3652829View attachment 3652828
Baada ya vile vyote vilivyo tokea.. Kuhusu kuchapwa ban na kuunganishwa ID. It was all for the better..
Imenijenga badala ya kunibomoa..
And y'all haters am back all charged up now.🔥🔥
Twende kwenye message...
Katika maisha kumekuwa na ile dhana ya watu kukata tamaa.. Wanakata tamaa just because hawaoni results, hawaoni validation kutoka kwa watu, au matunda ya kazi zao hayajioneshi mwanzoni.
Hii imewafanya watu waue ndoto zao na kurudi katika uhalisia unaowataka wawe hasa by outside noise. Sio kwamba watu hawaoni struggle yako, au sio kwamba unacho kifanya sio sahihi, bali bado matokeo hayajatokea ndo maana huoni pongezi.
Wengi katika maisha wako so attached by results ila hawatambui ya kuwa process ndo kila kitu..
Kwenye kitabu cha atomic habits, James clear anakwambia ya kuwa
" you do not rise to the level of your goals, you fall to the levels of your systems"
Mwana riadha hashindi kwa sababu amekimbia haraka kuwazidi wengine, anashinda kwa sababu mwili wake tayari uko accustomed na flexible kwa mazoezi endelevu.
Michael Jordan alifeli na kuiangusha timu kwa ku miss free throws mara kibao, ili aje kuwa the Goat kwenye kikapu
Thomas Edison alifanya majaribio elfu moja kabla ya kugundua bulb 💡
So tambua ya kuwa mafanikio sio overnight, yanakuja baada ya kufuata misingi.
Katika hali ya kawaida, mitandao ya kijamii imeharibu sana namna ya kuyaona maisha na eventually kuwa wavumilivu katika majukumu na mpango yetu ya kila leo. Na ndo maana mimi nimeamua kuweka mpango madhubuti kudhibiti screen time na kuweka jitihada zaidi katika kutumia hiyo free time kwenye kuongeza ujuzi na kukomaa systems zangu niweze kuwa bora zaidi.
Je, Ulishawahi kuwa na malengo ila reality check kutoka nje ilikuvunja moyo na kuacha mazima?
Every action you take is a vote to the type of person you wish to become
For sure.Basi what works for you might not work for me...
Uko sawa kwa mtazamo wako..
Kila mtu ashinde mechi zake