Usije kudhani watu hawaoni

Usije kudhani watu hawaoni

Hiyo ni rumor au social conditioning haina ukweli wa kisayansi. Bali wa kisaikolojia
Ni kweli tuko tofauti.
Hata tunavyowaza.

Ww si unaona daily unataka kupata Validation na Peoples approval ili kujisikia ww ni wa thamani.

Ila kwenye Dunia . Hauhitaji Validation ya watu. Wala mawazo yao ili kuwa ww kama ww.

Ukiwa unawaza hivi. Maisha yako yote utahangaika.

na ukweli mchungu ni kwamba..
NO ONE CARE.
 
Dogo atapata tabu sana hii dunia watu wanakuvalue with what they need from you.

Huyu bwana mdogo hii principle haielewi.Anataka thamani kwa strangers tena kwa kufosi😄😄😄
 
I told you I already know that...

Napenda kufanya hivi for affirmation purposes Kwang hasa hasa...

Nilisha kwambia it's not for others.

Najinenea haya publicly ili iwe kama nadhiri kuwa am who I am and no body can tell me other wise

Hao wanaokuja na makasiriko ni issues zao binafsi sio zangu
 
Tatizo naingia kwenye mfumo ambao haukuwa hata nia yangu.

Infact nimefika stage naweza kusurpass maneno manipulative ya viumbe waitwao binadamu
 
I told you I already know that...

Napenda kufanya hivi for affirmation purposes Kwang hasa hasa...

Nilisha kwambia it's not for others.

Najinenea haya publicly ili iwe kama nadhiri kuwa am who I am and no body can tell me other wise

Hao wanaokuja na makasiriko ni issues zao binafsi sio zangu

Dhahiri kuwa Sio unaongea kuhusu watu.
Ila unaongwa kuhusu ww.

For the past two Months. Umeongea mengi sana binafsi kuhusu ww zaidi ya mtu aliyekaa humu miaka 10.
Na hiyo ni shida.

You think They care about You.
Nill bro. We dont.

And then, why you keep on telling?.
The answer is... You seek refuge.
And JF is not the Home.

Its Family, YES. But .its NOT the place you can lay all the troubles and get out Clean and pure.
 
Then if you know that,

What's keeping you awake trying to tell me what to do?

It's your lack of boundaries and self composure that makes you wanna speak about what I feel doing.

Be you, do you...

Umesha sema you strive in silence then be so
 
Ila mi naona kama una ka changamoto kidogoo kwa mbaliii...
Ila sio sana...kwa mbaliiii
Kama kuna kitu kinakusibu tushirikishe.
Nilisha sema kuwa nikiwa humu nina kuwa na personas mbili

Na ninaziishi ipasavyo...

No one can tell me, to be something I don't wanna be... Hasa ndani ya jf, (si mlisema wenyewe sio Sehem serious!)

Hizi personal truntum ni zenu pekee.. I've gat nothing to do with it
 
Shida inaanzia hapo....u will learn soon or later...
Usiku mwema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom