Usije kudhani watu hawaoni

Usije kudhani watu hawaoni

Then if you know that,

What's keeping you awake trying to tell me what to do?

It's your lack of boundaries and self composure that makes you wanna speak about what I feel doing.

Be you, do you...

Umesha sema you strive in silence then be so

I do respect You.
And I'm not telling what to do bro.

For sure bro. no more troubles.
 
Kwanza kabisa official kuwa jina langu halisi la de Gunner limerudi kwa hewa..

View attachment 3652829View attachment 3652828

Baada ya vile vyote vilivyo tokea.. Kuhusu kuchapwa ban na kuunganishwa ID. It was all for the better..

Imenijenga badala ya kunibomoa..

And y'all haters am back all charged up now.🔥🔥

Twende kwenye message...
Katika maisha kumekuwa na ile dhana ya watu kukata tamaa.. Wanakata tamaa just because hawaoni results, hawaoni validation kutoka kwa watu, au matunda ya kazi zao hayajioneshi mwanzoni.

Hii imewafanya watu waue ndoto zao na kurudi katika uhalisia unaowataka wawe hasa by outside noise. Sio kwamba watu hawaoni struggle yako, au sio kwamba unacho kifanya sio sahihi, bali bado matokeo hayajatokea ndo maana huoni pongezi.

Wengi katika maisha wako so attached by results ila hawatambui ya kuwa process ndo kila kitu..

Kwenye kitabu cha atomic habits, James clear anakwambia ya kuwa
" you do not rise to the level of your goals, you fall to the levels of your systems"

Mwana riadha hashindi kwa sababu amekimbia haraka kuwazidi wengine, anashinda kwa sababu mwili wake tayari uko accustomed na flexible kwa mazoezi endelevu.

Michael Jordan alifeli na kuiangusha timu kwa ku miss free throws mara kibao, ili aje kuwa the Goat kwenye kikapu

Thomas Edison alifanya majaribio elfu moja kabla ya kugundua bulb 💡

So tambua ya kuwa mafanikio sio overnight, yanakuja baada ya kufuata misingi.

Katika hali ya kawaida, mitandao ya kijamii imeharibu sana namna ya kuyaona maisha na eventually kuwa wavumilivu katika majukumu na mpango yetu ya kila leo. Na ndo maana mimi nimeamua kuweka mpango madhubuti kudhibiti screen time na kuweka jitihada zaidi katika kutumia hiyo free time kwenye kuongeza ujuzi na kukomaa systems zangu niweze kuwa bora zaidi.

Je, Ulishawahi kuwa na malengo ila reality check kutoka nje ilikuvunja moyo na kuacha mazima?

Every action you take is a vote to the type of person you wish to become
Aliyesoma mpaka mwisho aweke summary,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom