Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Tumia akili wewe. Ndiyo ninyi mnaofananisha mchungwa na mlimao, Pia ndio nyinyi mnaodhani shangazi ni mjomba wa kike,
huwezi kumpambanisha HR na political scientist kwenye post inayohitaji Human resource manager sababu vitu anavyocover HR ni vingi mno kuliko PS anayesoma kwa sehemu tu kwenye course.
Ukifanikiwa kutaja vitu anavyosoma mtu wa HR kama wa Mzumbe ambavyo mtu wa PSPA havijui nitakuelewa. Kinyume na hapo maliza kwanza chuo then uje uone ulimwengu unavyokwenda.