Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

-- ---- ----.....!
Hahaha nani kaanzisha thread? Mwanzisha thread ndiye mwenye jukumu la kuleta uthibitisho wa anachokiandika
If so, Mbona toka thread imeanza sijaona wewe ukitoa ushahidi na kuattach research zinazothibtisha hoja zako juu ya kile unachopingana nami?

Hebu anza wewe kwanza kutoa tafiti hizo ili uweze kutimiza dhana nzima ya kuwalk the talk otherwise utakuwa hauna tofauti na wapiga domo wengine.

Cheers........!

Tembelea website ya wizara ya Katiba,[/QUOTE]

Hahahahaha.. Ignored.
 
Umeanzisha thread ya kuletea changamoto kama nani? Mwanasaikolojia?,mtafiti ulibobea kwenye masuala ya employment? Ungekuwa labda ni human resource officer kwenye organization ningesema kweli umesha experience job requirements kwenye organizations mbalimbali ! Hapa ni porojo tuu unapiga hauja tuletea reference umepata wapi taarifa zako

Too low.
 
LLB ni majanga siku hizi vyuo vikuu vinamwaga wanasheria wengi kuliko mahitaji,Mfano UDSM,Mzumbe,OUT,St Augustine,Makumira........ni wengi mno zamani LLB ilikuwa na heshima kubwa kwasababu UDSM ndio kilikuwa chuo pekee siku majanga nina mdogo wangu kamaliza Mzumbe kapiga kitaa miaka miwili nikaona bora akaburuze LLM in Human Rights kamaliza mwaka jana siku hizi yuko kwenye hizi NGO zinazopigania haki za binadamu anaganga njaa.

kumbe mpaka LAW hailipi??
 
Mkuu tena wengine unakuta wamejiajiri baada ya kupata ka mtaji kwenye kuajiriwa au mtaji toka kwa familia zao. Na kama mtu atumie elimu yake kujiajiri hivi mfamasi daktari engineer hawa wataanzaje kujiajiri. Otherwise tusitumie kile tulichokipata shule tuwe wakulima na wafugaji tu sasa.

aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
hasa kwa sasa ni jukwaa la wanasiasa kila anae simama wajiari. wakalime nk sasa mbona wao wanazekea kwenye kazi wameshikilia tu. na wengine wamejaribukujiari wakashindwa wajabebwa na ndg zao .
 
LLB ni majanga siku hizi vyuo vikuu vinamwaga wanasheria wengi kuliko mahitaji,Mfano UDSM,Mzumbe,OUT,St Augustine,Makumira........ni wengi mno zamani LLB ilikuwa na heshima kubwa kwasababu UDSM ndio kilikuwa chuo pekee siku majanga nina mdogo wangu kamaliza Mzumbe kapiga kitaa miaka miwili nikaona bora akaburuze LLM in Human Rights kamaliza mwaka jana siku hizi yuko kwenye hizi NGO zinazopigania haki za binadamu anaganga njaa.
Mwambie asome law school ! Atapata ajira na kujiajiri
 
LLB ni majanga siku hizi vyuo vikuu vinamwaga wanasheria wengi kuliko mahitaji,Mfano UDSM,Mzumbe,OUT,St Augustine,Makumira........ni wengi mno zamani LLB ilikuwa na heshima kubwa kwasababu UDSM ndio kilikuwa chuo pekee siku majanga nina mdogo wangu kamaliza Mzumbe kapiga kitaa miaka miwili nikaona bora akaburuze LLM in Human Rights kamaliza mwaka jana siku hizi yuko kwenye hizi NGO zinazopigania haki za binadamu anaganga njaa.

Huu ni ukweli mchungu lakini hawatakuelewa humu, si unajua kenge hadi atoke damu ndio aamini kuwa kaumia.
 
Hahaha ! Sio ukweli! Mbona Mimi Nina wadogo zangu wameajiriwa mwaka Jana kama MARESIDENT MAGISTRATE ! Wamemaliza udsm mwaka juzi
 
Ukifanikiwa kutaja vitu anavyosoma mtu wa HR kama wa Mzumbe ambavyo mtu wa PSPA havijui nitakuelewa. Kinyume na hapo maliza kwanza chuo then uje uone ulimwengu unavyokwenda.

Mimi nitataja tu baadhi ya masomo maana nimesoma Mzumbe.. Hapa nitazungumzia course structure ya mwaka 2009 kurudi nyuma.. Mana nasikia imeboreshwa... Ila sisi haya ni baadhi ya masomo tuliyosoma... Narudia. NI BAADHI.

1. PROJECT MANAGEMENT AND ADMINISTRATION
2. PERFORMANCE MANAGEMENT
HUMAN RESOURCES PLANNING ie. Career mgt and dvt..training and dvt etc
3. LABOUR LAWS AND INDUSTRIAL RELATIONS eg collective bargaining. Labor institutions and their functions and relations, like CMA. Wage board. Trade unions. Etc
4. STRATEGIC HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
5. PUBLIC POLICY
6. PUBLIC ADMINISTRATION
7. SOCIAL SERVICES ADMINISTRATION
8. DEVELOPMENT STUDIES/PERSPECTIVES
9. PUBLIC SERVICES LAWS eg. Local gvt laws.. Public service acts and their regulations. Procurement acts. magistrate acts. Law of contracts. Law of negligence. etc.
10. ORGANIZATIONAL BEHAVIOUR
11. SOCIALOGY
12. PROCUREMENT and SUPPLY
13. ACCOUNTING and BUDGETING eg. Local govt accounts. Public services accounts
14. OFFICE PROCEDURES AND RECORDS MANAGEMENT
15. MACRO AND MICRO ECONOMICS
16. BUSINESS COMMUNICATION
17. PRINCIPLES OF MANAGEMENT
18. INTRODUCTION TO HUMAN RESOURCES MANAGEMENT eg.. time mgt. Total quality mgt. Theories of Hrm. Etc

YOTE 9 Itakuwa wehu kama taasisi itatangaza kaz ya HR ikatoa sifa ya mtu aliyesoma PSPA..... na sijawahi ona tangazo la kazi la namna hyo.. Although nakiri kuwa hata wa PSPA akifanyiwa training anaweza kumudu hayo majukumu

SHIDA YA WASOMI WA TZ TUNAPENDA KUJIKWEZA NA KUBISHANA VITU VISIVYO NA MAANA.. NDO MAANA NCHI HII MASKINI
 
Facts over facts. Bravo mkuu..
 
well hapo PSPA hasomi account na hiyo ya 12, 15, 16 budget wanasoma semista ya mwisho mwaka wa 3 kwa udom, lakini kumbuka kupitia option anaweza kusoma hizo 12, 15 na 16. Tatizo mnadhani PSPA wanasoma siasa pekee
 
Vipi kwa mtu anaesoma hizi cources? bachelor of arts in economics, bcom in finance
 
Back
Top Bottom