Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

Nashindwa kuamini kwasababu Kaka yangu kamaliza PSPA mwaka 2012 pale mlimani na anapata kazi rasmi mwezi wa 8/2012, na mwaka jana 2013 may akapata kazi nyingine na maisha yako sawasawa. Dada yangu alimaliza Law akapiga school of law now ni mtu tofauti.
NB: Chagua course unayoipenda utafurahia maisha ya chuo na utajua namna ya kufungua nafasi za ajira na kujiajiri.
Mkuu sio mfano mzuri sana kusema kwa vile kaka na dada yako walifanikiwa kupata kazi kwa haraka kwa kozi hizo za Arts hivyo wengine wote nao watapata! Soko la Ajira kwa sasa halitoshi kabisa kuwapokea maelfu ya wahitimu wa course za Arts, ili kufanikiwa kupata Ajira utahitaji Referee wa uhakika ama Bahati ya mtende!
 
Bwana Yesu asifiwe wakuu..

Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge (Referee) nakuomba usisome kozi hizi.

Sociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication(Mascom), International relation, Public relation, Law (LLB), Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
NOTE:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.

Stay blessed.

Kama unaweza ni bora ukasoma civil engeneering, Mechanical, electrical, mining engeneering etc yaani full kutoka...
 
Kama unaweza ni bora ukasoma civil engeneering, Mechanical, electrical, mining engeneering etc yaani full kutoka...

bampami hizo ni kozi za watu waliosoma masomo ya sayansi, kama mtu amesoma masomo ya Arts ataishia kuzisikia tu. Kwa ujumla course nyingi za sayansi hazina shida sana kwenye soko la ajira.
Issue iliyopo hapa JF ni kozi zipi zinamfaa mtu aliyesoma masomo ya Arts?
 
Last edited by a moderator:
"tuajiliwe" = tuajiriwe

"kijiajili" = kuiajiri

halafu hapo kwenye red, sijui ulikuwa uanmaanisha nini..
lakini si umeelewa mkuu,wakati mwingine uku kukariri nako kunawafanya watu kukosa ajira
coz anakuwa amekariri alichosomea peke yake ndo kitampa maisha kumbe maisha hayako hivyo.
 
-

-arts courses are useles......says museveni

Luweero--President Museveni has criticised humanity courses at universities as useless, saying graduates from such departments can hardly solve anything to steer national development.

Speaking during the launch of a Shs5 billion modern laboratory at Ndejje University in Luweero District on Friday, the President said higher institutions of learning should refocus their attention to teaching science subjects.

“You ask these arts students what they can solve and they tell you, ‘for us we only think.’ Think about what?” he asked.

He advised private universities to teach courses that impart life skills and science in line with the country’s increasing need for professionals in the oil industry.

“It is unfortunate that many universities continue teaching very useless courses at degree level rendering their graduates jobless after graduation.

You find many of these people putting on big academic gowns but have no solutions to many of the country’s challenges. These people have nothing to help us because they offered useless courses,” Mr Museveni said.

He said Ndejje’s vision of venturing into science education through establishing laboratories for the science related courses is a big milestone which fits in Vision 2040.

“The universities which I helped to start, including Mbarara University of Science and Technology which have stuck to my advice of only teaching the relevant courses are doing well,” the President said.

He said courses like Development Studies can be taught as papers under other courses.-
Mr Museveni urged humanities graduates to seek slots in the army, police and prisons services.

Opportunities
“Those who did psychology can for instance go and counsel prisoners at Luzira.”

According to the President, Ndejje University which has invested in science laboratories that taste road construction material is a good vision by the administrators.

“I have a big problem with people working at the Works laboratories at Kireka. These people give false results to meet their selfish ends yet they are supposed to help us check-
Read More

Arts courses to blame for joblessness - Museveni

editorial@ug.nationmedia.com


LATEST UPDATESChinese firms lower road construction ratesDefence on the spot over railway contractKadaga tips MPs on terrorGrave vandal killed in police shoot out90 per cent pass nurses, midwives examsKansanga building collapses, two injuredTurkish farmers to boost dairy farmingGovt to honour first police chief OryemaMuseveni has no will to end graft - MatembeHoima municipal bosses, landlords differ on eviction

Most Popular
 
Hata ajira nyingi zilizopo ni chenga tu,mfano mtumish wa serkal fresh graduate unakuta anatake hme ya 500k,posho zikiwa nyiing sana labda laki jumla lak sita,hana mchongo mwingine yuko town kaz posta,maisha lazma yawe tight,maana yake ni elfu 20 kwa siku ambazo kuna watu wanaosha magari tu au wanauza maji ya madumu wanaweza pata mpaka elfu 15 na zaidi (uhakika nnao),hata mabaamaid au bar tender kwenye sehemu potential,wanafikisha hizo,kwa ujumla kaz za kuajiriwa tena in public service huwa zina changamoto sana,ukiacha machimbo nyeti ya wenyewe, cku hizi elimu inaanza kuwa kama sehemu ya kuongeza maarifa zaidi na sio kutokea,labda kama kuchomekea shati kwenda posta na kurudi ni sehemu ya mafanikio!
 
Njooni tufuge kuku,hivi kufuga kuku kunahitaji degree au diploma? unapata mafunzo kidogo ya ujasilia mali unasonga mbele,najua wengi wataulizia mtaji,nami najibu ulipata wapi mtaji wa kusoma? utasema nilisomeshwa, aliyekusomesha hawezi kukunyima msaada wa kujikwamua kimaisha kama una wazo chanya,labda unasema aliyenisomesha amekufa,nami nakuuliza nani yatima kati yako uliyehitimu masomo na kitoto kisichojua hata kikiambiwa mzazi wako kafa kinacheka hakielewi,Ebu funguka macho kutoajiriwa siyo kufa.Tafuta la kujishughulisha nalo
mengine yatafuata.Wengi kinachowaponza ni aibu,acha aibu kijana piga kazi halali inayoonekana mbele yako

hakuna kazi utakayofanya ikuingizie kipato ishushe elimu yako,msomi ni msomi hata akikaanga chips atazikaanga kisomi, Changamka acha kulala.

Hahahaha mkuu kwahiyo vyeti tuweke ndani tufuge kuku.
 
bwana yesu asifiwe wakuu..

Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala mama mbunge (referee) nakuomba usisome kozi hizi.

Sociology, political and public admnistration (pspa), public admnistration (bpa), conflict resolution, mass communication(mascom), international relation, public relation, law (llb), theology, arabic language, tax management, community development, rural development planning etc.
Note:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.

Stay blessed.




usikariri kila mtu ana bahati yake katika maisha. Huo ualimu wa arts nao nafasi zinakaribia kujaa. Mimi nashauri kila mtu achague kitu roho inapenda ataenjoy awapo kazini. Kama huamini waulize walimu wangapi wanatamani kazi zingine sasa hivi.
 
Si kweli.

Ni tatizo la utawala wetu...chanzo kikuu ni udhaifu wa serikali ya JK.

Mfumo wa utawala- kigezo cha kupata kazi si elimu au kozi bali ni tabaka la wafanyakazi/watawala??

Ikiwa una mtu wa kukuunganisha basi waweza kufanya kazi yoyote kwa elimu ya kozi yoyote.

Kufanya kazi yoyote kwa elimu ya kozi yoyote? Nyie ndiyo mnaoweka watu wa sociology kwenye uhandisi wa barabara.
Nadhani hukunielewa.

Ni kwamba mfumo wa utawala ndiyo mbovu...uhakika wa kazi uko kwa wakujuao na si kozi fulani.
 
lakini si umeelewa mkuu,wakati mwingine uku kukariri nako kunawafanya watu kukosa ajira
coz anakuwa amekariri alichosomea peke yake ndo kitampa maisha kumbe maisha hayako hivyo.

Jaribu kifikiri kuwa mimi ni Mkenya kwa hiyo nataka kujifunza Kiswahili fasaha kutoka Tanzania...

Je! Unafikiri nitakuwa nimeelewa alichaandika...?
 
Haha watakufa na NJAA? Hivii hujui kwamba course kama human resource ina mahitaji makubwa sana kwenye utumishi? Unazijua kazi za ma human resource officers zilivyokuwa ni nyingi wanahusika kwenye kupanga ,n. k sasa ngoja nikwambie nenda kwenye organization yoyote ile lazima utakuta human resource officers lakini unaweza ukakuta Hanna geologist,engineer,doctor,n .k
 
Hata accounting haina dili siku hizi graduates kibao wako mtaani
Hapana mkuu accounting ina mahitaji makubwa sana hakuna ofisi inayoendeshwa bila ya kuwa na muhasibu! Sema ajira nyingi zinazotoka zinahitaji wenye CPA na kiuhalisia wenye CPA ni wachache sana
 
Bwana Yesu asifiwe wakuu..

Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge (Referee) nakuomba usisome kozi hizi.

Sociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication(Mascom), International relation, Public relation, Law (LLB), Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
NOTE:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.

Stay blessed.
Hivi wewee unadhani maisha ni kusoma engineering? Hapana kwanza nakwambia watu waliosoma public administration ,human resource ndio mabosi wenu ofisini nenda ofisi yoyote utakuta watu wa human resource na public administration ndio wanawaongoza ma engineer,madoctor,geologist,! Halafu ngoja nikwambie SASA kada ya human resource na public administration wana posho kibao wewe kaa sasa na mawazo yako mgando
 
Bwana Yesu asifiwe wakuu..

Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge (Referee) nakuomba usisome kozi hizi.

Sociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication(Mascom), International relation, Public relation, Law (LLB), Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
NOTE:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.

Stay blessed.

Huna akili hata moja,, hizo kozi ndo watu huku wanavuna mihela kwenye UN, na mashirika ya kibinadamu,,, nasema hivi maana ma Adm, ma operation manager, HRm,, Conflict resolution,, mass communication officers wanalipwa ile mbaya..... kwanza YESU gani anaekufundisha kusema uongo.... waache wanetu wasome wanachoweza rizk anatoa Mungu.... ila international speaking hizo ndo kozi watu wanajengea majumba dar,, usiwe na unafocus kazi za NMB tu angalia mbali kijana,, kazi sio Tanzania tu... ndo maana mnakalia politik tu wakati wakenya na waganda wamezagaa duniani wana make money nyie mmekali siasa JF
 
Umesahau Telecom nayo pia cku hizi imeingiliwa, kazi zake nyingi hazilipi labda uwe na experience
 
Huna akili hata moja,, hizo kozi ndo watu huku wanavuna mihela kwenye UN, na mashirika ya kibinadamu,,, nasema hivi maana ma Adm, ma operation manager, HRm,, Conflict resolution,, mass communication officers wanalipwa ile mbaya..... kwanza YESU gani anaekufundisha kusema uongo.... waache wanetu wasome wanachoweza rizk anatoa Mungu.... ila international speaking hizo ndo kozi watu wanajengea majumba dar,, usiwe na unafocus kazi za NMB tu angalia mbali kijana,, kazi sio Tanzania tu... ndo maana mnakalia politik tu wakati wakenya na waganda wamezagaa duniani wana make money nyie mmekali siasa JF
Mwambie huyo
 
Back
Top Bottom