AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
- Thread starter
- #21
Kwa hiyo tusome Education wote,, si ndo maana yako unayotaka kusema
its all about choice.
Kwa hiyo tusome Education wote,, si ndo maana yako unayotaka kusema
Mkuu nadhani Thread inajieleza tu yenyewe kwamba kwa mazingira ya sasa hizo kozi zina maelfu ya graduates kitaa tena wengine wana miaka mingi tu hivyo urahisi wa kupata ajira through hizo skillz zinazotokana na kozi hizo inakuwa ni utata mtupu hata tu kuitwa kwenye interview ni kwa mbinde.
Mostly, kozi hizo hazitoi directly and defined skillz inayomuwezesha mtu kujiajiri mfano PSPA labda uanzishe chama cha siasa kama Zitto na ACT.
Hivi wewe pwagu huna kingine cha kuchangia, hili ni jukwaa la kusaidia kielimu sio chit chat hapa.
Shardcole, kwanza ungetaja kozi zote kama lengo lako nikuwapa elimu watu wasisome hizo kozi. Hiyo etc haina maana. Na utoe sababu za kufa njaa endapo mtu atasoma kozi ulizotaja. Pia uorodheshe kozi unazopendekeza na faida zake. Na uzingatie kila mtu anafanya kitu anachopenda. Na pia hayo ni mawazo yako tu.
Bwana Yesu asifiwe wakuu..
Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge (Referee) nakuomba usisome kozi hizi.
Sociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication(Mascom), International relation, Public relation, Law (LLB), Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
NOTE:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.
Stay blessed.
Sasa wasome kozi gani basi ndio utawasaidia vizuri.. Esp kwa waliosoma hkl na hgl..
Kwahiyo unataka kusema wooote wakawe waalimu ama?,
Msaaada wa mawazo plse.
Thx