Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.
Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?

Kwa sasa hakuna tatizo ila kwa baadaye tatizo lipo! utaonekana mtoto wake mkubwa, nawe utataka kutoka nje lakini kibali hakitatoka! Kero utaiweza hiyo?

"Akatanyukwile tikoma"
Ng'ombe hazeeki maini.
muoe tena uringe sana na mkeo.
"Age ain't nothing but a number". kijana funga ndoa kama kweli unampenda, ila kama umefuata pesa zake, baada ya ndoa utaanza kutafuta ubavu mwingine,utamuumiza mwenzio bure.Kumuoa hakuna tatizo ingawa kwa heshima na maadili yetu ya kiafrika, unatakiwa uwe unakumbuka kumpa "shikamoo" yake kila asubuhi maana ni dada yako mkubwa.

Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.

Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?
Hii habari inafanana na habari niliyoikuta kule machame, Nkwarungo.Jamaa yangu alimpenda binti wa kimachame, akawa wanakutana nae usiku kwenye migomba kwa maongezi.siku moja wakaamua kukutana kimwili huko huko kwenye migomba.katikati ya tendo jamaa akaishiwa nguvu na kupotewa na fahamu.alipozinduka akakuta binti amekaa pembeni yake huku analia.akamuuliza kumetokea nini?binti akampa stori ya maisha yake ya kupoteza wanaume katika ndoa zake za nyuma.Jamaa aliogopa sana na kuamua kuvunja hayo mahusiano.Bahati nzuri yuko hai mpaka leo.Tafuta feedback kwanza ya nyuma kwann hajaolewan,kulikua na dada mmoja alikuwa akiolewa tu mmewake anakufa hata miaka 2 haiishi,aliolewa na wanaume wa 5 wote walikufa mpaka sasa hataki tena kuolewa,so be care
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums