Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

Mwili wake mdogo sana wadau, yani tunaendana kbs...tatizo ni umri tu,,,ila potelea mbali, me naoa liwalo na liwe, kwanza nampiga mimba fasta
 
kaka we oa umri co ktu sana labda km angekuwa bonge lakin so long as co bonge oa tu, kuzeeka walkuwa wanazeeka fasta mama zetu waliokuwa wanafanya kazi nying za kulima
 
sasa hivi hakuna tatizo ila baadaye lazima kitaeleweka tu wanawake ni vinyonga sana wala usimsifie kwa sasa maana anatafuta akishakuweka kapuni inakula kwako
 
26-35
36-45 (anakaribia menopause)
46-55
56-65
mbona unajitafutia lawama mwenyewe,
 
Kumuoa hakuna tatizo ingawa kwa heshima na maadili yetu ya kiafrika, unatakiwa uwe unakumbuka kumpa "shikamoo" yake kila asubuhi maana ni dada yako mkubwa.


Shikamoo yake kila inapoitwa asubuhi ni fimbo nyama tu,
 
umr wako ndio sabab kubwa kwake kukuzmia na nina amin kaz ya ndan unajtuma vzr kwan ndio mtaj pekee ulionao kaz huna!!!now she has 35,ukpata mtoto now wkt yy ana 60 mwanao ana 25!Ongea na baba/mama yako as if imemtokea rafk au jamaa uliyewahi soma naye na utapata ushaur bora zaid!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom