Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Heko mkuu, hiki ki2 kitupie kati pale kwa jamaa aliemegewa baada ya pete, yaani umemaliza, hapo ni mwisho mwisho kabisa
Ruta ulishajaribu kumrudia mtu......... ni kosa la jinai mkuu.
warudia mayapishi?? ujihisi kinyaa??Nilishawahi na penzi nililopewa lilikuwa ni Babu K...........................yaani yale masharti ya awali yote nililegezewa ile mbaya nikawa ni mtu wa kujinoma...usicheze na Baby come back......................
warudia mayapishi?? ujihisi kinyaa??
aISEE MIMI NILIDHANI NIKO PEKE YANGU, NILIRUDIA NILIPOTOKA EE BWANA RUTA, YOU KNOW WHAT, NO I THINK YOU YOU KNOW WHICH BWANA, mimi ilibidi niseme ukweli kuwa old is gold, yaani wenyewe hiyo tuita HOME SWEET HOME
Tatizo la hawa wenzetu ni kuwa wanakuwa wamemwekea mtu donge.....lakini ukweli wabaki palepale ya kuwa......................OLD IS GOLD.................
Nilishawahi na penzi nililopewa lilikuwa ni Babu K...........................yaani yale masharti ya awali yote nililegezewa ile mbaya nikawa ni mtu wa kujinoma...usicheze na Baby come back......................
Hapo kwenye red ndipo kunapo nitamanisha haswaaaaaaaaa.................
huyo njiwa anasema coz hayajawh kumtokea mtu anaachana na mtu hata mara tatu nabado wanarudiana anacheza na mapenzi huyo hebu kwanza tujue umri wake usimlaumu.Acha ulimbukeni we njiwa unajifanya mbabe shauri yako, mtu kama karudi mi simwachi wala cvungi , yaani atacdengui, MIMI CWEZI KUFA KIMUA NA UTAMU WANGU MKUU
huyo njiwa anasema coz hayajawh kumtokea mtu anaachana na mtu hata mara tatu nabado wanarudiana anacheza na mapenzi huyo hebu kwanza tujue umri wake usimlaumu.
Hapo kwenye red ndipo kunapo nitamanisha haswaaaaaaaaa.................