Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 65,795
- 113,077
Utamaduni na mila zetu ndio upi huo?
Mbona tumepiga vita Ukeketaji
Mbona umekubali kuachana na Imani za kishirikiana za kabila lenu
Mbona tumeachana na tawala za kichifu
Mbona tumekubali kuwe na idadi maalum ya wake wa kuoa kwa mwanaume mmoja
Mbona tumepiga vita Ukeketaji
Mbona umekubali kuachana na Imani za kishirikiana za kabila lenu
Mbona tumeachana na tawala za kichifu
Mbona tumekubali kuwe na idadi maalum ya wake wa kuoa kwa mwanaume mmoja
Boss Nyani Ngabu Iwapo napendaga baadhi ya Mada zako,
Kwa hili nakupinga kwa nguvu zote,
Kujaamiana na Tendo la Ndoa halijakatazwa,
Kumbuka hili tendo ni la Sirini,
Kukubali lifanyike kama Kuku ni Kinyume na Utamaduni na Mila zetu.
Hii ni njia ya kuwaogopesha na kuwazuia, maana mtu akijua nikikamatwa nitaanikwa, Wananchi watajua, So mwenyewe unaacha au unafanya kwa kificho.
Usije tu kuwa na wewe una support ... Ushoga.