Live'pool in blood
Member
- Dec 16, 2012
- 23
- 6
Nakesha na wewe
Duh, huu mwaka umeanza vema kwa sisi wapenzi wa stori. Tupo hapa!
Naomba jioni ifike haraka,aisee umejaaliwa stori inaleta hamasa ya kusoma ingawa inasikitisha.
Daaah yaani kwa hiyo umeona mimi tu ndo kikwazo,sitaki kuamini.ila itabidi unisamehe na kunizoea ndugu yangu coz mi nikiguswa hata kama ni thread ya tamthiliya lazima nireply.Excuse me kubwalamaaduiusituharbie thread blue g,kwa kureply story,unatuchosha jaman,mbona ili tulishaliomba sana.mtu unareply kwa pat nzima ya story,ebu kuwa mwelewa bwana
Daaah yaani kwa hiyo umeona mimi tu ndo kikwazo,sitaki kuamini.ila itabidi unisamehe na kunizoea ndugu yangu coz mi nikiguswa hata kama ni thread ya tamthiliya lazima nireply.Excuse me kubwalamaadui
Nimekusoma mkuu labda na mi nitajaribu kuapply hiyo torchbery,ingawa hata maana yake siielewi.poa mkuu.wengine tunatumia torchbery
Miaka gani hiyo mkuu?imenikumbusha riway za Ben Mtobwa
MziziMkavu - Uko wapi kaka? Endelea please:A S 20:
nimeipenda MziziMkavu endelea
Na pia inapunguza gharama za kwenda bar na kwenye makasino!Tena inasaidia kupunguza stress za kodi za January
Nimekusikia mkuu lakini mpatie picha Cleopatra na mcheche aliokuwa nao wa kuzungumna na "La Aziz" wake; That was a natural reaction maana alikatishwa hamu yake kwa kusikia sauti ambayo sio ya mpenzi wake; Hence ikabidi awe mpole ajue kunani.Wakina dada kuna jambo la kujifunza,hasa mnapopigiwa simu,cleopatra anajibu hovyo pasina kujua aliyepiga ni nani.
Lakini baada ya kumjua mtu yule anajifanya mwema.
Haipendezii...
Mwaka huu kuna ligi ya stori kati ya chai chungu na mzizimkavu. Full kukosa usingizi
Mkuu TUKUTUKU kuna matatizo ya kiufundi nitamalizia matatizo yakimalizika inshallah fanyeni subira wapenzi wangu .............Mkuu MziziMkavu please jitokeze ukate kiu ya sisi mashabiki wako!