Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,165
- 40,520
Mimi kwenye masuala ya kuishi muda mrefu ningemsikiliza mzee wetu hapa 👇Kwamba mkali haaminiki?😂
Mimi kwenye masuala ya kuishi muda mrefu ningemsikiliza mzee wetu hapa 👇Kwamba mkali haaminiki?😂
Kama huwezi kufanya mazoezi acha wengine wafanye usitafute njia nyepesi ya kuwakatisha tamaa wenzako...Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana, hata wachezaji wakifika miaka 30 ni ngumu kukubaliwa kucheza professional football majeraha huchukua mda mrefu kupona na utimamu wa akili hua pungufu
![]()
Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandikawww.jamiiforums.com
Sa itakuaje 🤦
Plan b ipo...Sa itakuaje 🤦
YeahYasiwe mazito...
Kama huwezi kufanya mazoezi acha wengine wafanye usitafute njia nyepesi ya kuwakatisha tamaa wenzako...
Ripoti ya madaktari ilisema sababu ya kifo ni nini?Kuna mfanyakazi mwenzangu alikufa akiwa kijana mdogo tu.Alikuwa anafanya mazoezi magumu mno ya kunyanyua vyuma na kitu inaitwa Sauna yule dogo alikata moto mapema mno usingizini.Msikilizeni Prof Janabi msimpuuze huwa anasema mazoezi mengine hadi upimwe na daktari.
Siku hizi wasemaji ni wengi mno kila mtu ni daktari sasa lazima uchuje usipokee kila kitu cha kuambiwa mtandaoniKwamba mkali haaminiki?😂
Kupasuka kwa mishipa mkubwa wa damu unaitwa AORTARipoti ya madaktari ilisema sababu ya kifo ni nini?
kwan mkuu unataka kunyanyua chuma hadi ukubwan 😂Kuna mfanyakazi mwenzangu alikufa akiwa kijana mdogo tu.Alikuwa anafanya mazoezi magumu mno ya kunyanyua vyuma na kitu inaitwa Sauna yule dogo alikata moto mapema mno usingizini.Msikilizeni Prof Janabi msimpuuze huwa anasema mazoezi mengine hadi upimwe na daktari.
Kwa umri wangu mkuu kwa kweli hapana natafuta nini hasa ila zoezi la kutembea kwa miguu nafanya kwa kweli niko radhi niende bar kwa mguu kuliko kwa garikwan mkuu unataka kunyanyua chuma hadi ukubwan 😂
sasa mstaafu unategemea nikae tu nyumbani nisichangamane na watu na jamii.Ukistaafu ukiwa unakaa tu nyumbani unasubiri chai,ugali mchana na usiku unakufa harakabar tena? kutembea sio zoezi