Mwanaume ni kama maji,Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!
Unateseka ukiwa wapi sistangu?Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!
eeeh pisi km hiyo picha yko nisiipenda jmn kweliBas acheni kupenda pis kali kama hamuwezi hudumia
Ukisha enjoy kwa wahuni unataka mtu ambaye huna mchango wowote kwenye maisha yake akutunze???Ila wahun ata asipokupa hela unakuwa ume injoy vilivyo
Angekuwa anayajua majukumu yake vizuri asingekuwa na Binti asiye na maadili kama weweBaba yangu mie yupo vzr anajua majukumu yake vzr
Na nyie mmeumbiwa nini!!?Ninyi mmeumbiwa kututunza sisi
Shida Hana nyota na bahatiFigo mzee wa mikosi na wanaume.
Na wewe umeteleza?Wanaume wenzangu kuna sehemu tumeteleza turudi nyuma na kutafakari
Pisi Kali!?Bas acheni kupenda pis kali kama hamuwezi hudumia
Kama kuna mwanaume alimtemnda afu yupo JF Bora abadirishe ID maana kila siku anakuja na kijembe aiseeShida Hana nyota na bahati
Jibwa dume weweSijawahi na haitokaa itokee niwe mbwa
Atakopwa sanaKama kuna mwanaume alimtemnda afu yupo JF Bora abadirishe ID maana kila siku anakuja na kijembe aisee
Vip tena mkuuJibwa jike wewe
Apunguze dharau Kwa wanaumeVip tena mkuu
😂 ulikosea kuniquote, acha aendelee na dharau zake yeye ndie anaeonekana wa hovyoApunguze dharau Kwa wanaume
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😂 ulikosea kuniquote, acha aendelee na afharau zake yeye ndie anaeonekana wa hovyo
Usiwaze kamanda🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nisamehe mkuu
Acha niedit