Usiendekeze mwanaume

Usiendekeze mwanaume

Kwenye jamii yetu ya Sasa kuna pahala wanaume tumejikwaa......

Uanamume unapitia nyakati ngumu kwa kuwa sisi wanaume wenyewe tupo mbali na uanamume wenyewe......Sasa hivi wanawake hawajivunii kuwa na waume kwa kuwa tofauti pekee wanayoiona baina Yao ni maumbile tu ya sehemu nyeti..........

Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa vijana wa kiume wanawaza kutunzwa na wanawake badala ya wao kuwatunza wanawake.......??

Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa huko majumbani wanaume tunashindwa kuzisimamia na kuziongoza familia zetu.....??

Ndio maana wanawake wanadai usawa kwa hawaioni nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake zaidi ya haja za kimwili ambazo Siku wanajifanyia wenyewe.........??

Wanaume wenzangu kuna sehemu tumeteleza turudi nyuma na kutafakari
Kiukweli wanaume mmebaki wa kuhesabia tu

Sijui Nini kimesababisha haya
 
Ila unawaponda sana wanaume be positive ukiwaza mema nayo yatakufuata
sidhani km wanaume wote ni wabaya kiasi hiko kunawanaume ni wanaume haswa
Mngekuwa wote mna mawazo haya na kuyaishi hakika dunia ingekuwa ni sehem salama sana kuishi.
 
Kwenye jamii yetu ya Sasa kuna pahala wanaume tumejikwaa......

Uanamume unapitia nyakati ngumu kwa kuwa sisi wanaume wenyewe tupo mbali na uanamume wenyewe......Sasa hivi wanawake hawajivunii kuwa na waume kwa kuwa tofauti pekee wanayoiona baina Yao ni maumbile tu ya sehemu nyeti..........

Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa vijana wa kiume wanawaza kutunzwa na wanawake badala ya wao kuwatunza wanawake.......??

Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa huko majumbani wanaume tunashindwa kuzisimamia na kuziongoza familia zetu.....??

Ndio maana wanawake wanadai usawa kwa hawaioni nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake zaidi ya haja za kimwili ambazo Siku wanajifanyia wenyewe.........??

Wanaume wenzangu kuna sehemu tumeteleza turudi nyuma na kutafakari
Sema na wewe !
 
Its all about priorities.

Wewe priority yako ni kupewa pesa, simu kali, yani kuwa spoiled ndiyo uone kweli una mwanaume.

Lakini kaa ukijua bado uko gizani.

Kuna wenzio walishatoka kwenye hizo level, wanapewa kila kitu, na priority zao ni kuolewa lakini wanaume walionao hawana habari na kuoa.

Kuna wenzio wanajiweza kwa kila kitu, priority zao wapate walau wanaume wanaojielewa ila hawawapati au wanapata wanaume vituko.

Wewe unavyowaperceive wanaume, ni tofauti na wenzio. Hivyo usiconclude kwamba "Wanaume wako hivi ama vile.

Dont think in one sided way.
 
Kuna mwanaume mbaya mmoja alimtenda huyu, si bure 🤣 kila siku kuwakanda huku lazima pawepo sababu.

Aje huku Sindiga tutafute mafuta
Yaani hakuna asopotia misukosuko katka mahusiano na hata maumivu lakin mwenzetu hapana aisee 😂😂😂
 
Kwakweli mm sijawahi kuthibitisha haya kuanzia kwenye familia babayangu alikuwa baba Bora mno Kwa familia Kwa ankozangu pia ni wanawajibika ipasavyo kwenye familia zao wanafanya kilakitu Kwa watoto wao na wakezao, kwenye mahusiano yangu pia nakutana na wanaume wema pia wanaowajibika na nasikilizwa so mtoa mada anapata toleo gani Bado sijaelewa
Anapata anaemstahili kutokana na jinsi alivyo.
 
Back
Top Bottom