Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,065
- 111,660
๐๐๐๐ aiseeWanasema wanaume wote ni dog. Ila wa mwenzetu hapa atakuwa alikuwa ni kijiko, amemchota chota sana ndio maana hajamsahau ๐
๐๐๐๐ aiseeWanasema wanaume wote ni dog. Ila wa mwenzetu hapa atakuwa alikuwa ni kijiko, amemchota chota sana ndio maana hajamsahau ๐
Kwakweli ๐kuachwa mbona hata wenzie tunaachwa tu ajikaze apige moyo konde๐๐๐Wanasema wanaume wote ni dog. Ila wa mwenzetu hapa atakuwa alikuwa ni kijiko, amemchota chota sana ndio maana hajamsahau ๐
Muda huo na wewe hauna kamtu pembeni ๐Sija achwa sina kasoro hiyo mie ya kuachwa nikiona kunadalili za mwanaume kuwa na mtu nampe kibuti
Hatujakutaa dada๐Sija achwa sina kasoro hiyo mie ya kuachwa nikiona kunadalili za mwanaume kuwa na mtu nampe kibuti
Inawezekana lkn ni kujifunza kuwaza in positive way ukibeba mambo moyoni yanazalisha chuki mwisho unajitia mikosi mwenyewAnapata anaemstahili kutokana na jinsi alivyo.
Basi nawe sio muaminifu.Anakuwepo yule ambaye anangojea jibu la ndio au hapana
SOma hapa figo76 utajifunza kituInawezekana lkn ni kujifunza kuwaza in positive way ukibeba mambo moyoni yanazalisha chuki mwisho unajitia mikosi mwenyew
Ukishataka mwanaume akuhudumie, umeshamuendekeza mwanaume.Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!
In this world, u get what u attract.Ila unawaponda sana wanaume be positive ukiwaza mema nayo yatakufuata
sidhani km wanaume wote ni wabaya kiasi hiko kunawanaume ni wanaume haswa
Huyo slikuwa anatuma maombi ninshida ukimjibu baadanya kuacha kiumbe wa mtuBasi nawe sio muaminifu.
Ukiwa na mtu, hapatakiwi awepo mwingine pendingโฆ huu ndio uaminifu wa ๐ฏ
Ili siku ukiachwa/ acha, ubaki singo usubiri mahusiano mengine. Ila kama ukiachwa/ acha unamvuta mwingine chap chap maana yake alikuwepo huyu wakati bado uko kwa mahusiano ๐๐
Nimuachie nanNiache
How old are you pls. Kama hutojali ๐๐Huyo slikuwa anatuma maombi ninshida ukimjibu baadanya kuacha kiumbe wa mtu
Huduma gani tena ,kila mtu ajihudumie kwani kwenye kustareheka kuna anaye starehesha tu pasipo kupata starehe hadi asitahili huduma?Bas acheni kupenda pis kali kama hamuwezi hudumia