Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,495
- 203,187
😂😂😂😂Bango linaongea dogo 😂
View attachment 2600008
Biblia yenyewe imeandika wanawake tunatakiwa kutii sio kupenda sasa tunapendajeMwanamke lini alishawahi mpenda mwanaume kitu anachojua mwanamke ni kujipenda na kupenda watoto alio wazaa ndio maana mwanaume akifulia mwanamke anamkimbia
"Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!"Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!
Au sioNinyi mmeumbiwa kututunza sisi
Skia mkuu hakuna mwanaume anataka kutunzwa na mwanamke. Kila mwanaume anataka kumtunza mwanamke wake. Tatizo linakuja pale mabinti wanapokua hawatosheki na wanachopewa. Wanaume wanajitahidi sana kuwapa kwa kadri ya uwezo wao ila mabinti wanataka wapewe kama anavyopewa flan.Kwenye jamii yetu ya Sasa kuna pahala wanaume tumejikwaa......
Uanamume unapitia nyakati ngumu kwa kuwa sisi wanaume wenyewe tupo mbali na uanamume wenyewe......Sasa hivi wanawake hawajivunii kuwa na waume kwa kuwa tofauti pekee wanayoiona baina Yao ni maumbile tu ya sehemu nyeti..........
Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa vijana wa kiume wanawaza kutunzwa na wanawake badala ya wao kuwatunza wanawake.......??
Tunaupeleka wapi uanamume hali ya kuwa huko majumbani wanaume tunashindwa kuzisimamia na kuziongoza familia zetu.....??
Ndio maana wanawake wanadai usawa kwa hawaioni nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake zaidi ya haja za kimwili ambazo Siku wanajifanyia wenyewe.........??
Wanaume wenzangu kuna sehemu tumeteleza turudi nyuma na kutafakari
Sasa figo ushaona ngombe anakamuliwa bila kushibishwa. Usipomjali mwanaume usitegemee atakuhudumia.Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!
Kweli ndugu hayo nayo yanachangiaSkia mkuu hakuna mwanaume anataka kutunzwa na mwanamke. Kila mwanaume anataka kumtunza mwanamke wake. Tatizo linakuja pale mabinti wanapokua hawatosheki na wanachopewa. Wanaume wanajitahidi sana kuwapa kwa kadri ya uwezo wao ila mabinti wanataka wapewe kama anavyopewa flan.
Mabinti wa siku hizi wamekua na unlimited wants, bila kujali uwezo wa anaye mpatia. Binti umemtongoza jana leo anataka uanze kumhudumia. Ndio hapo mwanaume anajiuliza sasa huyu kwani alijua nitamtongoza leo ili nimpe hela ya kusuka? Mwanaume anaona chaka bovu hili anaacha nyoya.
Mabinti wamekuwa ombaomba sana tofauti kabisa na zamani
Wanawake wa siku ni WA ovyo sana.Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!
Mbi mazoea yamezidi sasaNi wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!

Unaweza kumtii usiyempenda?Biblia yenyewe imeandika wanawake tunatakiwa kutii sio kupenda sasa tunapendaje
Mkuu raha ya kuwa mwanaume ni kumpa mwanamke wako, na huwa raha zaidi ukimpa na akasema asante ile inayotoka moyoni. Huwa inakupa nguvu ya kutafuta ili umpe tena.Kweli ndugu hayo nayo yanachangia
Hata mwanaume wa kweli unayemsema akitongozwa Bado anaenda kujisifia?Mkitongozwa mnaenda jisifia uko vijiweni kwenu
Kutii mnatii sasaBiblia yenyewe imeandika wanawake tunatakiwa kutii sio kupenda sasa tunapendaje