Usichokijua kuhusu juice ya miwa

Usichokijua kuhusu juice ya miwa

mtimkav

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
1,034
Reaction score
662
Habarini wakuu.. kumekuwa na ongezeko la watu kupenda kunywa hiyo juice ingawa sijajua ni kutokana na umaarufu au kufata mkumbo bado sijajua…
Hoja yangu hapa ni mazingira ya utengenezaji ukianza na mashine yenyewe ipo tuu nje nzi,vumbi, vyote vinaipata, mtengenezaji mwenyewe ndo kabisaa majanga mkono huo huo wa kukamulia, ndo unafuta meza,.unapokea chenchi ila kubwa kuliko ni hizo glass za kunywea sasa yani glass hazioshwi vizur ni zinawekwa kwenye maji na kutolewa kibaya ni kua hayo maji hayabadilishwi!

Sasa watu wa dar ndo wananishangaza mtu anakuja na gari la gharama alafu ananunua juice kwenye mazingira yale sasa ni kutojua au watanzania tushazoea uchafu…

TUWE MAKINI KWA HILO
 
hiyo ni kweli, ila juice ya ukweli saana
 
Watu wa dar wanadai juice hiyo ukinywa ina kufanya unakuwa na ubavu wa kugegeda
Tena sahivi juice ya muwa inachanganywa na juice ya tende
 
Rudi mkoani ndugu dar pamekushinda
Mi nakunywa sehem safi
 
Watu wa dar wanadai juice hiyo ukinywa ina kufanya unakuwa na ubavu wa kugegeda
Tena sahivi juice ya muwa inachanganywa na juice ya tende

Watu gani hao au wale wazee wa dar anaoongeaga nao mkwere?
 
Habarini wakuu.. kumekuwa na ongezeko la watu kupenda kunywa hiyo juice ingawa sijajua ni kutokana na umaarufu au kufata mkumbo bado sijajua…
Hoja yangu hapa ni mazingira ya utengenezaji ukianza na mashine yenyewe ipo tuu nje nzi,vumbi, vyote vinaipata, mtengenezaji mwenyewe ndo kabisaa majanga mkono huo huo wa kukamulia, ndo unafuta meza,.unapokea chenchi ila kubwa kuliko ni hizo glass za kunywea sasa yani glass hazioshwi vizur ni zinawekwa kwenye maji na kutolewa kibaya ni kua hayo maji hayabadilishwi!

Sasa watu wa dar ndo wananishangaza mtu anakuja na gari la gharama alafu ananunua juice kwenye mazingira yale sasa ni kutojua au watanzania tushazoea uchafu…

TUWE MAKINI KWA HILO

Kwahiyo wewe unapokunywa hiyo juice ukimuona mtu ana park gari zuri na kununua hiyo juice basi unajua ni mtu wa dar!!. Wewe kwenu wapi. Au huwa unawauliza???.
 
Ngoja nitafute ile picha!

Nyingine hii hapa

1423370891474.jpg
 
Kwenye kila matayarisho ya chakula au kinywaji chochote usafi unahitajika. Si juice ya miwa Tu.
 
Back
Top Bottom