Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,793
- 815
Pale round about ya michenzani Zanzibar watu wanakuja na dumu za Lita 20 kuchukua.. Piteni pale wa safi kwa Zanzibar na dar pale mtaa wa Libya jamaa wasafi na mtaa wa jamhuri karibu na kitumbini..ukishindwa kula muwa kamili na fundo zake. Cane sugar juice ina raha yake haswa iwe na ndimu na tangawizi.