Usichokijua kuhusu juice ya miwa

Usichokijua kuhusu juice ya miwa

Unawezaje kununua gari la mil 20 alafu unashindwa kwenda sehemu classic ya kupata hiyo uduma hadi uende vichochoroni au kwenye vibanda pembeni mwa barabara

Hakika wewe ni mgeni hapa mjini, mbona mkuu wa Uhasama wa Taifa bwan Othman tunagonga naye supu ya pweza Coco kwenye vibakuri vya plastic?
 
Habarini wakuu.. kumekuwa na ongezeko la watu kupenda kunywa hiyo juice ingawa sijajua ni kutokana na umaarufu au kufata mkumbo bado sijajua…
Hoja yangu hapa ni mazingira ya utengenezaji ukianza na mashine yenyewe ipo tuu nje nzi,vumbi, vyote vinaipata, mtengenezaji mwenyewe ndo kabisaa majanga mkono huo huo wa kukamulia, ndo unafuta meza,.unapokea chenchi ila kubwa kuliko ni hizo glass za kunywea sasa yani glass hazioshwi vizur ni zinawekwa kwenye maji na kutolewa kibaya ni kua hayo maji hayabadilishwi!

Sasa watu wa dar ndo wananishangaza mtu anakuja na gari la gharama alafu ananunua juice kwenye mazingira yale sasa ni kutojua au watanzania tushazoea uchafu…

TUWE MAKINI KWA HILO

Offisi zinatofautiana. Njoo uone
 
tumbo lako lilikuwa chafu juice ya miwa husafisha tumbo na figo kamaa hujui siku nyingine kanunue juice ya miwa special ambayo haijachanganywa na ndi mu wala barafu changanya na dawa inaitwa MJAFARI kijiko kimoja kwa lita moja tumbo lako lisafishike zaidi
Asante sana mkuu.....
 
Hakika wewe ni mgeni hapa mjini, mbona mkuu wa Uhasama wa Taifa bwan Othman tunagonga naye supu ya pweza Coco kwenye vibakuri vya plastic?

Mkuu watu wa bara wana taabu sana.yani hapo kwenye pweza napo umenichanganya huwa nawafata magomeni mikumi au Temeke mwisho stand pale au buguruni tawi la Yanga au Tbt lerini Pweza bwana raha sana jaribu na Ngisi mkuu watamu sana.kuhusu Juice ya miwa sio mchezo mimi huwa napenda lile grasi kubwa halafu iwe mixer stand ya congo ukipita round about ya uhuru km unaenda mnazi mmoja au tandika kwa wapemba hizi mambo watu wa kutoka mikoani huko hawajui wakuu
 
Huku pweza nzi, kule mbatata za urojo, unashushia na juice ya muwa saafi kabisa. Muhimu kuangalia kutokula au kunywa sehemu zisizo safi.
 
Kutokana na title yako hapo juu nilitegemea kusoma athari za juice ama composition ya hiyo juice kumbe unazungumzia mazingira ya hiyo juice inavyotengenezwa!Wamekusikia wadau
 
Unawezaje kununua gari la mil 20 alafu unashindwa kwenda sehemu classic ya kupata hiyo uduma hadi uende vichochoroni au kwenye vibanda pembeni mwa barabara
Una uhakika gani kwamba hiyo gari ni lake? akili ndogo hii!
 
Kutokana na title yako hapo juu nilitegemea kusoma athari za juice ama composition ya hiyo juice kumbe unazungumzia mazingira ya hiyo juice inavyotengenezwa!Wamekusikia wadau

Kumbe mpo? mnaotumia gari za shemeji zenu!…
 
Back
Top Bottom