kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,369
Usicheze na hisia za mwanamke
Eti mwanamke akipenda ua anapenda kweli
Na akiamua kucheat ana cheat kweli
Na mwanamke akikuacha ua arudi nyuma ata ukimpa bilioni 2
Kauli hizi zilikuwa zina nipa presha zamani ya kuchezea hisia za mpenzi wangu akiniacha nitajuta
sasa na mimi na wambia ivi badirisheni kauli zenu dunia umebadirika
Wanaume hatutishiki tena wewe ukiamua kuondoka ondoka tu au ukiamua kucheat cheat tu maisha magumu sasa hivi hakuna kufatiliana tena ndoa zenyewe ndo hizi hizi tu za uongo