Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba🤦♂️😂
Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba🤦♂️😂
Inaelekea viti vyako vilichoka mno mpaka kubebwa na gari la taka, unaishije mkuu?Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba🤦♂️😂
Kama ya kweli hayo basi unisamehe! Nimecheka bila kutarajia.Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba🤦♂️😂
Godoro lilikuwa sambusambu!?Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba🤦♂️😂
Pole...Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba🤦♂️😂
Hahhhhhhhhhh. Chai na kahawa haviendani...au sio wazeeeAHSANTENI sana , Kwa kushirikiana na Polisi siku ya leo majira ya Saa 10;00 tulipata taarifa vipo Dampo la Tabata .🙏🙏 NISHAVICHUKUA .
WAKUU MUWE NA HESHIMA NA VITU VYA WATU HAMJUI NILIPO VITOA .😥
Mshamba huyoUme copy na kupaste toka instagram
Mshamba huyoAcha kutunza nyumba za panya mkuu..!! 😹😹😹
Wameona havina hadhi ndio manaa wameenda kuvipeleka dampo, ptuuuuuu🤮🤮🤮🤢🤢🤢AHSANTENI sana , Kwa kushirikiana na Polisi siku ya leo majira ya Saa 10;00 tulipata taarifa vipo Dampo la Tabata .🙏🙏 NISHAVICHUKUA .
WAKUU MUWE NA HESHIMA NA VITU VYA WATU HAMJUI NILIPO VITOA .😥
Hahaha 😂🤣mimi nacheka na hayawezi nikuta kwanini unatunza uchafu ndani kiongozi
Vipi mkuu KUKU MAJI hujamaliza tu chuo?😎😂😂 wakati naanza maisha, nilihamia kwenye nyumba nikiwa na ndoo na begi tu, mwenye nyumba akasema vipi ndio unakuja kufanya usafi,? Nikasema hapana ndio nimeamia.
Baadae nasikia anaongea na jirani wananisemq😂