Yeah sure hatuchekani bro............🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨Wanaume hatuchekani mkuuu 🤑
Baby secretarybird muone huyuWe nyauba Nusratt mbona unateseka sana ?😂
Vitu vibaya ila si vya kwangu , lakini ngoja nikimaliza chuo nitabadili🤣🙏
LAKINI HAPANA
Kwanini ni badili ?🥺
Nakuwa namuogopa nani ??
Sina mke wa watoto , kwanin nile anasa??
Vikiwa vichafu hivi si ndo vinatengezeza vitoweo???
Mimi ni Mmakonde panya muhimu kuwepo ndani.😂😂
Mtose baharini na secretarybird awe kimbilio lako la moyo wako maana unapokuwa naye roho yako haitakuwa na jaka moyo.Baby secretarybird muone huyu
Jukwaa ni chit chat madam
Okay, sikujuaJukwaa ni chit chat madam