WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
ha ha ha... I believe ule msemo wa Mapenzi yana RUN Dunia ndio iko hapa....
Hivyo kupelekea Sex i RUN the brain....lol
Mawazo ya hasira yamepungua sasa. Sa ivi nawaza mwisho wa mwezi!!!Asante saaaaana..... Vipi hasira ya before imepungua??
Food for thought!
Nadhani mtu aliyeko idle ndio huwaza sex kuliko aliye busy...
Ukiwa busy na stressed hata hiyo hamu itatoka wapi?
Having said that..ina maana wengi wako idle??
WOS... Umenifurahisha dear... observe mda nilorusha the thread... ilikua mda muafaka wa most fellas kufikiria katika hio mitaaa... and another thing ni kwamba mpaka mtu aka log in JF hata kama yupo kazini ina maana ana ka spair time - and you do know how this is tricky... wen asked wat are you thinking out of the blue, your mind plays dirty jokes on you...lol
Wifi mimi love shopping (but huenda kwa mood, not always...)
Bora wazee wakuone mgongo wazi kiasi, kuliko kimino... unashindwa hata
kutembea with pride maana mwenyewe wajishuku..(you know wat i mean...)
mpenzi, inabidi tuhamie chumbani sasa,lol! ila hapo kwenye kimino tukishindwana inabidi kila mtu akwee daladala lake! strange kuwa mimi naona mgongo wazi ni kuwaonea wazee (teh teh migongo mingine banaa,wanaweza wakaota wanakimbizwa na mashetani). ila tukishindwa kununua nguo na viatu tutanunua ingredients za kupika jogoo chukuchuku kwa wali,lol
Perfect Wifi... thats why me love you so so... you know your game... and that mabanoni imenitoa machozi...lol...
me love u more my wifi. usicheke lakini, kuna wazee macho juu juu ukipishana nae lazma ajifanye anapiga chafya ili aangalie morogoro store! afu unakuta ni family, hataki kuzeeka na visenti vya mjini tena basi inakuwa full embarrassment! hahaha,ngoja kwanza,lol
ha ha ha Wifi you have to tell me this week ilianza vipi... maana since jana you are so nasty...lol... eeeh?? wanapiga chafya... hio sikushtukia, mimi nilishtukia ya kukuita na kukuuliza nini kinaendelea na maisha... alafu anakutuma ukachukue kinywaji ... then ukirudi anaongeza maneno (macho yoote on your boobs) kana kwamba ndio yanamsikiliza.... ukiondoka (on your butt) lol
hahaha, u ar nastier, lol! kumbe na boobs nazo ni tatizo eeh? yaani shurti mtu apige chafya na ageuke mzima mzimaa! afu unakuta ni mtu unamheshimu kweli, basi unakuwa una-observe anavyokodoa kodooo. sasa na mie ntaacha kuwa kijana kwa vile yy kazeeka, akuu! atajibeba (kwa kiasi lakini,hahaha). tena wiki yangu ngumu kweli wifi,nikitaka ushauri nasaha ntakuja tu kabla mengine hayajaniponyoka!
I'm thinking, why do these people pay me so much money just to sit here all day? Then the rational part of my brain just told me to shut up and thank God for my half full glass of life
aaaisee... pole saana... I love your spirit... a hectic week with a happy mood... good my wii.... sasa sometimes si vibaya wakifanya hivo, inakuongeza confidence kua you are looking hot if not sexy....lol... And ukitaka ushauri nasaha... i am all yours and will try as best as i can...
OFF TOPIC
Ile thread ya Bak kule.... nakwambia kuna dada mja mzito kapitia mpaka nimejisikia vibaya... yaaani akasema mwili wooote umemsisimka....
]me always happy by choice my wifi, why stress out! unajua sisi wanadamu tuko very selfish nadhani hata Mungu huwa anatushangaa.I just count my blessings and face life head on! [/COLOR]
Weeh, ngoja niende kwa BAK, i hope sijaamsha emotions sana. My bad!
aaaaiiiseeee!!! :clock:me Speachless..... Dah!!!
Why the speechlessness?
Do you have the guts of telling your thoughts??
Hapo ulipo unawaza nini??
Please share .Iwe kweli lakini .lol
oh!! And Please usishangae... This is Chit Chat...
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)
uuuuuuuuuh yani mi nawaza mengi jamani. loooh, hata sijui nianza na lipi. ila kubwa ambalo halibanduki kwa ubongo yangu ni saa ngapi nitapata kazi. maana nimechoka kabsaaaaaa tena kabsaaaaa na kukaa na hawa mabosi wa bara la Asia.
mh pia nawaza wanangu watakula nini leo jioni baada ya kuwaachia hela ya kununua matembele tu. umeme no mh siliwazii sana ingawa nawaza manake hii hasara unaonipatia sisemi mie.
uuwi jamani mbona mawazo mengi mie hadi kichwa chauma.
ngoja nikanywe maji kwanza. labda na pilipili ili niconcentrate kwenye uwashaji wa pilipili brain itapoa.