Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

clinging, kimino na mgongo wazi, kipi kinapandisha presha wazee? wifi kumbe unafaa kuwa wardrobe manager eeh, ntakusaka tusindikizane shopping,lol!

Njiwa pole saana.... I hope tayari usha solve... I am sorry sikuipata hii mapema.. Uje na feedbak basi....
 
ha ha ha....lol... Naona yako imekaa vema - Unaona atastaaafishwa eeeeh?? lol
 
clinging, kimino na mgongo wazi, kipi kinapandisha presha wazee? wifi kumbe unafaa kuwa wardrobe manager eeh, ntakusaka tusindikizane shopping,lol!

Wifi mimi love shopping (but huenda kwa mood, not always...)

Bora wazee wakuone mgongo wazi kiasi, kuliko kimino... unashindwa hata

kutembea with pride maana mwenyewe wajishuku..(you know wat i mean...)
 
Mimi nawaza mengi mengi tu, kila dakika mawazo yanachange. Lakini yote ni hasira hasira tu
 
Mimi nawaza mengi mengi tu, kila dakika mawazo yanachange. Lakini yote ni hasira hasira tu

Dah! Pole saana Mbagala... try relaxing na ondoa hayo
mawazo maana yaweza haribu afya yako....

Have a nice day and try to enjoy...
 
Njiwa pole saana.... I hope tayari usha solve... I am sorry sikuipata hii mapema.. Uje na feedbak basi....

nilimpigia simu asubuhi mida ambayo najuwa amesha staftahi na kifungua kinywa ... alipokea simu na kuniacha niongee mimi, ni msikivu nikampa promise again nitampigia usiku tena ... though nitakuwa busy na clinical rounds , nimempa promise i will find time for her 10- 15min... naomba mungu tonight i wont have any trauma patient
 
Toka maelezo yako nime notice she means a lot to you... ila you are treating her kama vile hana huelewa (sorry to say this...) Mtu unae mdate the way mta treatiana mwanzo mwa relation ship it hase always it be constant, ndo maana too much exaggeration mwanzoni mwa mapenzi hupelekea tensiion katika mahusiano mapema. Njiwa talk to her Man... find time, she has to know and try to understand when you are busy and that you have a demanding job... For kazi unayofanya (nimenotice ni Doc, tena katika delicate cases...) inahitaji mwanamke anaejua any time and any moment you can leave her as a result of emergencies....

Hata hivyo i am hoping it works out.... Best of Luck Pal.....
 
Dah! Pole saana Mbagala... try relaxing na ondoa hayo
mawazo maana yaweza haribu afya yako....

Have a nice day and try to enjoy...
Nikusahihishe kidogo bi Asha, Jina langu ni MABAGALA sio Mbagala, mbona unaniongezea mawazo ya hasira tena?
 
Nikusahihishe kidogo bi Asha, Jina langu ni MABAGALA sio Mbagala, mbona unaniongezea mawazo ya hasira tena?

Jamani.... sijui niseme nini ila tu naomba ujue NAOMBA MSAMAHA..... Mabagala... sitarudia kosa.... Sorry...
 
Nimejikuta najiuliza..kulikoni mawazo kama haya ninayosoma?

dont dare me challenge like this
nikikuambia exactly what i am thinking now..
hii thread itapelekwa jukwaa la wakubwa na mimi kupewa ban
get it
??????????

Asha bana! Haya mawazo tunayowaza "hayaandikiki" lakini siyo kama ya The Boss. .

Unfortunately, siwezi kusema ninachowaza sasa kwa sababu kinavunja vigezo na masharti ya JF Rules

I am thinking of my Gozi at this time, I wish he was here and I would get out of this site.

Yangu nayabania mmmhh
nikiyandika nakula BAN ya mwaka...

samahani mpenzi...

Hili Gozi langu halichelewi, safari zake za haraka haraka, alikuwepo leo asubuhi kanipigia simu anasafiri, ndio zake. Ji handsome langu, nikubandikie picha yake hapa? Wengi watalia nikiiweka! lol.

Mimi nawaza mengi mengi tu, kila dakika mawazo yanachange. Lakini yote ni hasira hasira tu
Kweli mawazo ni mengi..na hubadilika kila mara.....

Mimi hadi sasa nawaza kwanini hayo hapo juu yametawala fikra za watu?
 
Reactions: EMT
Nimejikuta najiuliza..kulikoni mawazo kama haya ninayosoma?

Kweli mawazo ni mengi..na hubadilika kila mara.....

Mimi hadi sasa nawaza kwanini hayo hapo juu yametawala fikra za watu?

ha ha ha... I believe ule msemo wa Mapenzi yana RUN Dunia ndio iko hapa....

Hivyo kupelekea Sex i RUN the brain....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…