Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Wazungu!?kwann wazungu???Kiufupi watanzania ni wafupi especially wa kanda za pwani uko ni wafupi sana warefu wengi wanapatikana kanda ya ziwa rukwa kidogo na arusha
Ila kiusawa mwanamke hatakiwi kuwa mrefu sana zaidi ya mwanaume hata ukiangalia wazungu utakuta asilimia kubwa ya wanawake ni wafupi kulinganisha na wanaume
