Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

Nakubaliana nawe kea asilimia zote kwasababu nina mifano na ishanitokea.
Nilioa na mke wangu nilikua namchakata vizuri sana nilivoyumba kiuchumi lakini hatukukosa pesa ya kula mke wangu alibeba kila kitu mpaka nguo zangu kaondoka mpaka sasa anaishi na mwanaume mwingine nina rafiki zangu watatu nao yamewakuta.
TUTAFUTE PESA WAUGWANA
Mke wako inaonekana huku mzalisha kama unge mzalisha watoto ange kimbilia kwao hakuna mwanaume anaye weza kubeba mzingi wa mtu mwingine
 
Hii mada ya zero IQ imekaa kiutatanishi sana hapa anaongelea mwanamke wa aina gani labda

Chukua mifano kutoka Kwa
Bill gates
Jeff bezos
Elon musk
Roman Abrahimovic

Alafu uje ufanye editing ya uzitwako

Naomba kuwasiliisha
 
Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu,

Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye pesa ata kama anatumia kidole atakuacha na kwenda zake.

Tutafute pesa mademu wazuri tutawakuta tukiwa nazo, Sasa hivi tuwachakate tu na kusepa kwenda kutafuta shekeli.

Cc Zero IQ
Point
 
Hii ni uzibora wa kufungulia mwaka 2022....
Viumbe wazito saana hawa
 
Shida ukiwa na pesa kila mwanamke atakupenda.
Lakini sio upendo wa dhati.
Siku ukikosa ndo utajua rangi zao.
Bora utafute mwanamke ukiwa hauna kitu.akupende wewe kama wewe.
 
asa kama huwezi kua na hela mda wote unasemaje una hela

Elimu yako tafadhali

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Unaelewa kinachoongelew au umekulupuka kama serikali yenyewe kuna muda inakosa pesa japo kuwa ndio mmiliki wa hiZo pesa ww nani kinachoongelewa hapa sisi ni binadamu kuna muda unayumba kiuchumi hata kama una vyanzo vingi vya kipesa hivi hujawah ona mwenye bmw inamshinda hata hela ya kutengenezea gari yake??

Sent from my ndenjiii five using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana nawe kea asilimia zote kwasababu nina mifano na ishanitokea.

Nilioa na mke wangu nilikua namchakata vizuri sana nilivoyumba kiuchumi lakini hatukukosa pesa ya kula mke wangu alibeba kila kitu.

mpaka nguo zangu kaondoka mpaka sasa anaishi na mwanaume mwingine nina rafiki zangu watatu nao yamewakuta.
TUTAFUTE PESA WAUGWANA
Ulioa malaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom