Boss ndio umegundua leo?Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla mbe tupange lini tunatoka.
Mnaona raha sana kupewa kinyume na maumbile au sio? Vipi kuhusu future yenu? Je vipi wewe unavyomuona ana kizalio? I mean ,..anaweza kukuzalia mtoto au ni kustarehe tu?Boss ndio umegundua leo?
Wenzio kwenye game kitambo
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae. Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi. Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.
Masingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbayaKwa nini unasema hivyo?
Uongo mtupu na takwimu za kubumba tu.Masingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbaya
98% afya zao huwa sio nzuri though kwà muonekano wa nje huwa hawajionyeshi.
90% huwa wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile
85% ni walevi
ambatanisha na ushahidi.....Nakazia kwenye comment no 1
Hapana si asilimia kubwa hivyo,kuna masi gle mother wajane kama mimi na sina HIV,kuna wengine pia hawakuachwa bali waliamua kuondoka wenyewe.Masingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbaya
98% afya zao huwa sio nzuri though kwà muonekano wa nje huwa hawajionyeshi.
90% huwa wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile
85% ni walevi
Kam upo dsm ntakupa namba za singo maza kumi pisi zote zinakula njugu shauri yakoUongo mtupu
Kapime kwanza MkuuHapana si asilimia kubwa hivyo,kuna masi gle mother wajane kama mimi na sina HIV,kuna wengine pia hawakuachwa bali waliamua kuondoka wenyewe.
Hasa mtu unakuwa singo modha na hauna hata tabia moja iliyoorodheshwa hapoUongo mtupu na takwimu za kubumba tu.
Nimepima juzi tu,sina.Kapime kwanza Mkuu
watu wanatabia sana ya ku-generalize mambo. Afu kabisa mtu anasema eti 90% utafkiri ana ushahidi..... Ni ujinga mtu anaongea tu bila kufikiria afu hii inaleta dharau kubwa single mothers.....Hapana si asilimia kubwa hivyo,kuna masi gle mother wajane kama mimi na sina HIV,kuna wengine pia hawakuachwa bali waliamua kuondoka wenyewe.