Ushuhuda namna Polisi Central wanavyopiga Pesa bila kutoa risiti

Poleni mliodhurumiwa! Polisi pia acheni dhuruma!!

Katika vitu nachukia ni hili jambo la polisi kudili na vyombo vya moto.Bunge wafute mamlaka haya kwa polisi, waunde mamlaka itakayo dili na hizi vyombo.Mnawashushia hadhi wapiganaji wetu.
#MwanaGiningi.

5/5
 
He he he he sasa nyampala alikupiga kwa kosa gani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana Mkuu, wasiliana na TAKUKURU uwamalize kabisa
 
😅😅😅, kuna siku nimekwenda Segerea magereza kumsalimia mahabusu, kuna askari magereza mmoja akawa hatumii ustaarabu anasukuma watu watoke mle ndani kwa madai muda umekwisha waingie wengine, akawa kama ananisukuma nitoke, nilimuuliza kwa ukali huku nimemkazia macho kwanini ananisukuma, kunambia tu hakutoshi?....Nikamsindikiza na msonyo juu...Alinicheck kwa mihasira yake, nafikiri alikuwa anajiuliza nimepata wapi ujasiri ule.Mie huyo nikaondoka zangu.

Nawe kafanye hilo jaribio lako utupatie mrejesho.
 
Huku mikoani lugola alisaidia Sana.
Waliacha huo wizi maana ilimua hatari sana.na hii ilisaidia hasa vurugu nyingi za mikoa ya kusini ilichagiwa na ukamataji bodaboda mf .masasi,liwale .kwa hiyo viongozi was kisiasa wako pia makini kuangalia Kanata Kanata isiwashe moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu bodaboda mnaunga juhudi wanasiasa wkt wa uchaguzi kwa mafuta ya buku 5!!

Makonda huyo huyo akiwaita mnajaza mibendela ya chama kama vibaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu bodaboda mnaunga juhudi wanasiasa wkt wa uchaguzi kwa mafuta ya buku 5!!

Makonda huyo huyo akiwaita mnajaza mibendela ya chama kama vibaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa tu Mkuu, hili tamko lilikuja kuwadhibiti bodaboda waliounga mkono ukawa 2015 Mara tu baada ya uchaguzi. Walikuwa wanakula ccm wanalala ukawa. Ndo maana unaona unaona Magu hajawahi kuwazungumzia bodaboda tangu aingie ikulu. Anaamini bodaboda walihatarisha kiti chake. Bodaboda sio wajinga.
 
Wataenda kukulipa siku ya malipo usiwaze.
 
kuna askari mmoja bonge pale Ostabay nikiwa abiria wa boda alitukamata pale karibu na ulipo ubalozi wa Urusi ,Boda akachukuwa hela mimi akanilaza mahabusu mpaka kesho yake na ulikuwa mwezi wa ramadhani na alikuwa analalamika swaumu kali na akadai rushwa !! ndo nitoke na nilimpa 50 elfuMungu amchomee na moto wa jahanam milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…