TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,158
- 12,945
Umenikumbusha Bonge moja lilikuwaga na tabia hii ya kunyanyasa sana Madereva along Morogoro Road maeneo ya Kimara..kuna askari mmoja bonge pale Ostabay nikiwa abiria wa boda alitukamata pale karibu na ulipo ubalozi wa Urusi ,Boda akachukuwa hela mimi akanilaza mahabusu mpaka kesho yake na ulikuwa mwezi wa ramadhani na alikuwa analalamika swaumu kali na akadai rushwa !! ndo nitoke na nilimpa 50 elfuMungu amchomee na moto wa jahanam milele
Lilionea onea sana Raia hatimaye Sir. God akapokea kilio cha Raia. Lijamaa likaparalaiz mpaka likafa.
Sent using Jamii Forums mobile app