USHUHUDA : Manabii wanaouza maji na mafuta yaliyoombewa…

Hakuna wauzaji wa spiritual products kama waisalam?Nenda misikiti kibao utawakuta wanauza hasa siku za ijumaa.Mafuta ya kuingia nuksi nk wewe acha uongo.
Kwa hiyo unaeda kununua mafuta ya kuingia nuksi???
 
Mimi kila siku huwa nasema mambo ya kiroho tujitahidi sana kuyachambua au kutafuta tafakuri yake kiroho, vitu vingine si vya kubeza kama wachangiaji wengine wafanyavyo. Ni ukweli usiopingika kwamba kwenye hivi vitu(faith tools) kuna wengine ambao wamefanya ni biashara(fursa). Nitoe mfano mmoja sigara imaeandikwa ni hatari kwa afya yako tena walioandika ni watengenezaji sasa kama ni hatari kwa afya kwa nini wanatengeneza, kwa sababu wameona kuna fursa ya ambao hawajui au wanajua wanaamua tu kuvuta basi kwa sababu kuna vitu wanapata.

Sasa kwenye maji yaliyoombewa kuuzwa hiyo siwezi kusema kwa nini yanauzwa na wasiyatoe bure kila mtu anafanya kwa kadri alivyoongozwa na Muumba wake. Je imani yako iko wapi? Mana sijui kama kuna mahali wanalazimisha watu wanunue! hiyo ni maamuzi ya mtu binafsi kutokana na imani yake kama vile ambavyo mtu unapoenda kununua bia au wine yako ukanywa, sijawahi kuona mahali wamelalamika ,sasa kama mtu kanunua maji ya upako hayajamsaidia hiyo ni shida yake na imani yake hiyo ni baina yake na Mungu wake sisi ni akina nani kuanza kuingilia mahusiano ya kiroho baina ya mtu na Mungu wake.

Narudi sasa upande wangu binafsi ushuhuda wangu huu Mungu aliyonitendea kupitia Morning water ya TB Joshua , hii naisema wazi na ni baina yangu Mungu wangu na Mungu wa TB Joshua.
Miaka ya nyuma kidogo nilianza kusumbuliwa na ndoto mbaya mbaya za kutisha ambazo zilinifanya nikawa nakosa raha mpk wakati mwingine naogopa kulala, nilikuwa nikilala mara nitaota niko mochwari naosha maiti za watu nisiowajua ninalia sitaki naogopa lakini hakuna wakunihurumia, siku nyingine naota nasugua madro yale ya mochwari mara nadeki mochwari, mara naota naona kaburi niko juu yake nalia sana kiukweli hizi ndoto zilinitesa sana na wakati huo maisha yangu yalikuwa nayashuka kwa mwendo wa hatari kazi sina kwenye kazi hapa ndo usiseme nilisikia kitu kinaniambia acha kazi nikaacha bila sababu mwenyewe sikuelewa ndi stori ndefu sana but siku moja rafiki yangu akaona this is not normal yeye alienda kwa TB Joshua akapewa maji kwa vile aliniona nina hali mbaya akaniuliza kama nina imani kuwa Mungu anaweza yote, nikamjibu ndiyo wakati huo hakuna kanisa ambalo sijakanyaga bila suluhu. Nilifanyiwa maombi yote mpk nikakaribia kukata tamaa sijui nifanye nini tena. Siku hiyo rafiki yangu akanipa hayo maji na vitabu vingi tu alivyopewa huko akaniambia nisome kwanza vitabu alafu nikishajengeka kiimani ndo niyatumie mana aliona nilikuwa nimeshakata tamaa na nikasema sitaenda kwa mganga yoyote kama Mungu umeacha kunisaidia basi nimakubali chochote kinachokuja ni sawa ingawa usiku nikiingia kitandani naanza kulia nawaza nikifa nitawaachaje watoto wangu..........nitaendelea mkiniruhusu
Msukule mwingine huu
 
Mje kwa wakatoliki. Huku hakuna biashara za kijanja janja. Maji ya baraka ni kwa kila mtu for free.
 
Hata kwa wakatolik wanalia michango mingi kuanzia kwenye jumuiya tena na hata katoliki ma kkkt mnauza had matikiti kwa mnada tikikiti au papai mtu analinunua kwa laki tatu si uwendawazimu huo.!
 
Unachanganya mambo mawili. Kwani mada inahusu michango au uuzwaji wa huduma ?
 
Hakuna wauzaji wa spiritual products kama waisalam?Nenda misikiti kibao utawakuta wanauza hasa siku za ijumaa.Mafuta ya kuingia nuksi nk wewe acha uongo.
Wakukutupuka miskitini wanao uza ni watu binafsi sio miradi ya msikiti waka shekhe hata wewe kama una dawa zako unauza nenda pale nje unauza una sepa mara nyingi ni dawa za mitishamba ila na matapel pia wameingia humo humo
 
Mimi ni mkristo lkn siku zote naona dini ya kiislam ndio imekaa kiutu
kwa nini umuuzie mtu wa Mungu kitu cha kujitibia ama baraka ya Mungu????
baraka za Mungu haziuzwi it is for free.....for every one
Yaani watu wanataka kuwa ma agent wa kuuza baraka za Mungu??
This is absurd
Karibu sana huku tupo more practical kuliko nadharia tunahoji kila kitu hautamin kama vipofu siki shekhe asimame aseme nimeyaombea maji au mafuta mjipake wakimsatahi sana watatoka nje ila mnaweza kusikia bakora zimetembea huko...kwanza ni haramu kutangaza biashara ndani ya msikiti.!..biasjara kafanyie nje....sadaka ni iman yako ikutume sio ulazishwe na mfumo.!
 
Msukule mwingine huu[/QUOTE

Mi si msukule mi ni mwanadamu niliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Imani yangu haiingiliani na mtu yeyote wala sijakulazimasha kuamini ninachoamini. Kama wewe unaona ni biashara nzuri kuuza spiritual items hata wewe uza na utapata wateja usiogope....nachojaribu kuwaambia msiingilie mambo, kujitia mnajua wakati hamjui chochote mambo ya kiroho yanaenda kiroho kama ni huduma iliyopata kibali kutoka kwa Mungu amesema mtawatambua kwa matendo yao full stop. Mengine tujifunze kujua mipaka yetu jamani, huduma wanatumia jina la Yesu mwenyewe kawaomba mumpiganie kama wanatapeli kwa kutumia jina la Mungu kawaomba mumpiganie yeye pekee ndo anajua hukumu yao.
 
Na wewe HIVI PUNDE nilikua nskuona bonge ya gentleman lkn sasa unataka kuniudhi.
Wezi wa mchana kweupe unakubali ni manabii na mitume ? Kwa Kagame hao kwao ni Segerea na Ukonga
 
Hata kwa wakatolik wanalia michango mingi kuanzia kwenye jumuiya tena na hata katoliki ma kkkt mnauza had matikiti kwa mnada tikikiti au papai mtu analinunua kwa laki tatu si uwendawazimu huo.!
kwa hao jamaa padri kufanya huduma ya mazishi ni lazima ulipie.
 
Unajua mwanamke asiye na mume au asiye na mtoto unaweza kumuuzia chochote au unaweza kumfanya wakati wowote kama utamuahidi hicho anachotaka. Jaribu leo utaona hasa ukijifanya unanguvu za kimiujiza ndio kabisaa hata mhh kila kitu utapewa.
 
Mimi kila siku huwa nasema mambo ya kiroho tujitahidi sana kuyachambua au kutafuta tafakuri yake kiroho, vitu vingine si vya kubeza kama wachangiaji wengine wafanyavyo. Ni ukweli usiopingika kwamba kwenye hivi vitu(faith tools) kuna wengine ambao wamefanya ni biashara(fursa). Nitoe mfano mmoja sigara imaeandikwa ni hatari kwa afya yako tena walioandika ni watengenezaji sasa kama ni hatari kwa afya kwa nini wanatengeneza, kwa sababu wameona kuna fursa ya ambao hawajui au wanajua wanaamua tu kuvuta basi kwa sababu kuna vitu wanapata.

Sasa kwenye maji yaliyoombewa kuuzwa hiyo siwezi kusema kwa nini yanauzwa na wasiyatoe bure kila mtu anafanya kwa kadri alivyoongozwa na Muumba wake. Je imani yako iko wapi? Mana sijui kama kuna mahali wanalazimisha watu wanunue! hiyo ni maamuzi ya mtu binafsi kutokana na imani yake kama vile ambavyo mtu unapoenda kununua bia au wine yako ukanywa, sijawahi kuona mahali wamelalamika ,sasa kama mtu kanunua maji ya upako hayajamsaidia hiyo ni shida yake na imani yake hiyo ni baina yake na Mungu wake sisi ni akina nani kuanza kuingilia mahusiano ya kiroho baina ya mtu na Mungu wake.

Narudi sasa upande wangu binafsi ushuhuda wangu huu Mungu aliyonitendea kupitia Morning water ya TB Joshua , hii naisema wazi na ni baina yangu Mungu wangu na Mungu wa TB Joshua.
Miaka ya nyuma kidogo nilianza kusumbuliwa na ndoto mbaya mbaya za kutisha ambazo zilinifanya nikawa nakosa raha mpk wakati mwingine naogopa kulala, nilikuwa nikilala mara nitaota niko mochwari naosha maiti za watu nisiowajua ninalia sitaki naogopa lakini hakuna wakunihurumia, siku nyingine naota nasugua madro yale ya mochwari mara nadeki mochwari, mara naota naona kaburi niko juu yake nalia sana kiukweli hizi ndoto zilinitesa sana na wakati huo maisha yangu yalikuwa nayashuka kwa mwendo wa hatari kazi sina kwenye kazi hapa ndo usiseme nilisikia kitu kinaniambia acha kazi nikaacha bila sababu mwenyewe sikuelewa ndi stori ndefu sana but siku moja rafiki yangu akaona this is not normal yeye alienda kwa TB Joshua akapewa maji kwa vile aliniona nina hali mbaya akaniuliza kama nina imani kuwa Mungu anaweza yote, nikamjibu ndiyo wakati huo hakuna kanisa ambalo sijakanyaga bila suluhu. Nilifanyiwa maombi yote mpk nikakaribia kukata tamaa sijui nifanye nini tena. Siku hiyo rafiki yangu akanipa hayo maji na vitabu vingi tu alivyopewa huko akaniambia nisome kwanza vitabu alafu nikishajengeka kiimani ndo niyatumie mana aliona nilikuwa nimeshakata tamaa na nikasema sitaenda kwa mganga yoyote kama Mungu umeacha kunisaidia basi nimakubali chochote kinachokuja ni sawa ingawa usiku nikiingia kitandani naanza kulia nawaza nikifa nitawaachaje watoto wangu..........nitaendelea mkiniruhusu
Usiendelee ishia hapo hapo anzisha uzi wako
 
Siku wakiuziwa unga na Mchele wa Upako ndipo akili zitawasogea.

Watanzania tumezubaa sana huu sio Ukarimu.
Dah mbona itakuwa peponi...mchele wa upako, mafuta ya upako na maji ya upako = ubwabwa wa upako. Subiri digestion ukautoe tu
 
Wajinga ndio wanaoliwa mzee hakunaga huduma ya kiroho kwenye biblia inauzwa kila kitu ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE ,umepewa Bureeeeeeeeeeeee na wewe unatoa Bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukiona mtumishi anauza huduma za kiroho ujue anatoka kwa IBILISI SHETANI
Wayaaaaaaaaaaa
 
Siku hizi kuna mtindo umezuka mtaani hasa Jijini Dsm !

Kun manabii wanauza maji na mafuta ya kupaka yaliyoombewa kwa waumini wake. Unakuta maji chupa moja inauzwa TZS 15.000 na mafuta ya kupaka huuzwa mpaka TZS 50.000.

Watu wananunua sana hizo products. Na hao watumishi wa MUNGU wanapiga sana biashara mjini.

Mifano halisi ni hawa ambao wana Television zao au wanalipia matangazo yao moja kwa moja.

Kama Mch. Suguye na Mzee Wa Upako.

Mwenye ushuhuda wa maajabu au uponyaji alioupata atupatie tafadhari!
Hiyo hela itume kwenye namba hili jina litakuja hozi.sm yangu inasumbua fanya haraka niko kwa wakala.wajinga bado wengi sana.
 
Hakuna mijitu milofa duniani kama myeusi....naunga mkono hoja ya Kanye West kuwa waafrika tulipenda pia kuwa watumwa kwa kukosa fikra...mnawezaje ku'dump akili zenu zote kwa pimbi mmoja?ndio maana ilikuwa rahisi ku-be colonized coz waafrika walijidai kkuijua na kuihusudu bible kama waliiandika wao....idiots!!!!
Idiots in deed ........As the matter of fact I am always honouring these fools a nicely sounding name as " Imbeciles "
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom