USHUHUDA : Manabii wanaouza maji na mafuta yaliyoombewa…

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Siku hizi kuna mtindo umezuka mtaani hasa Jijini Dsm !

Kun manabii wanauza maji na mafuta ya kupaka yaliyoombewa kwa waumini wake. Unakuta maji chupa moja inauzwa TZS 15.000 na mafuta ya kupaka huuzwa mpaka TZS 50.000.

Watu wananunua sana hizo products. Na hao watumishi wa MUNGU wanapiga sana biashara mjini.

Mifano halisi ni hawa ambao wana Television zao au wanalipia matangazo yao moja kwa moja.

Kama Mch. Suguye na Mzee Wa Upako.

Mwenye ushuhuda wa maajabu au uponyaji alioupata atupatie tafadhari!
 
Wajinga ndio wanaoliwa mzee hakunaga huduma ya kiroho kwenye biblia inauzwa kila kitu ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE ,umepewa Bureeeeeeeeeeeee na wewe unatoa Bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukiona mtumishi anauza huduma za kiroho ujue anatoka kwa IBILISI SHETANI
 
Siku hizi kuna mtindo umezuka mtaani hasa Jijini Dsm !

Kun manabii wanauza maji na mafuta ya kupaka yaliyoombewa kwa waumini wake. Unakuta maji chupa moja inauzwa TZS 15.000 na mafuta ya kupaka huuzwa mpaka TZS 50.000.

Watu wananunua sana hizo products. Na hao watumishi wa MUNGU wanapiga sana biashara mjini.

Mifano halisi ni hawa ambao wana Television zao au wanalipia matangazo yao moja kwa moja.

Kama Mch. Suguye na Mzee Wa Upako.

Mwenye ushuhuda wa maajabu au uponyaji alioupata atupatie tafadhari!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanunue tu. Wajinga ni wengi hii dunia
 
Siku hizi kuna mtindo umezuka mtaani hasa Jijini Dsm !

Kun manabii wanauza maji na mafuta ya kupaka yaliyoombewa kwa waumini wake. Unakuta maji chupa moja inauzwa TZS 15.000 na mafuta ya kupaka huuzwa mpaka TZS 50.000.

Watu wananunua sana hizo products. Na hao watumishi wa MUNGU wanapiga sana biashara mjini.

Mifano halisi ni hawa ambao wana Television zao au wanalipia matangazo yao moja kwa moja.

Kama Mch. Suguye na Mzee Wa Upako.

Mwenye ushuhuda wa maajabu au uponyaji alioupata atupatie tafadhari!
Wajinga ndio waliwao, imefika mpaka wachungaji wanaita watu mafala!
 
Watu Wangu Wanaangamia Kwa Kukosa Maarifa

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Kiatu Cha Muumini Sori Imekwisha
Cha Prophet Sori Soft Anatembea Kwenye Kiyoyozi Na Waumini Wanahaha Juani

*Kanisa Linajengwa Na Waumini Likikamilika Ni Mali Ya Prophet Na Ndiyo Anaamua Lolote
 
Siku hizi kuna mtindo umezuka mtaani hasa Jijini Dsm !

Kun manabii wanauza maji na mafuta ya kupaka yaliyoombewa kwa waumini wake. Unakuta maji chupa moja inauzwa TZS 15.000 na mafuta ya kupaka huuzwa mpaka TZS 50.000.

Watu wananunua sana hizo products. Na hao watumishi wa MUNGU wanapiga sana biashara mjini.

Mifano halisi ni hawa ambao wana Television zao au wanalipia matangazo yao moja kwa moja.

Kama Mch. Suguye na Mzee Wa Upako.

Mwenye ushuhuda wa maajabu au uponyaji alioupata atupatie tafadhari!
Ukiwa maskini wakati umepata fursa we ni lofa .........Mzee wa Upako
 
Hata mda mwingine shetani ujigeuza na kujifanya malaika wa nuru,lkn wale wasoma maandiko wanajua hii kweli na hii sio.kukosa maarifa ndiko uwafanya watu kuingia mkenge .
 
Kuna mshua flani alikuwa naumwa miguu imejaa maji (oedema)
Kaenda kwa mchungaji sijui nabii kapewa chumvi awe anachanganya na maji anakunywa...

Huyu mzee baada ya siku kadhaa miguu ikazidi kujaa maji hadi aliposhauliwa aache kutumia hio chumvi maana chumvi iko contraindicated kwa mgonjwa mwenye oedema. .

Hawa jamaa watakuja kuua mtu
 
Hakuna mijitu milofa duniani kama myeusi....naunga mkono hoja ya Kanye West kuwa waafrika tulipenda pia kuwa watumwa kwa kukosa fikra...mnawezaje ku'dump akili zenu zote kwa pimbi mmoja?ndio maana ilikuwa rahisi ku-be colonized coz waafrika walijidai kkuijua na kuihusudu bible kama waliiandika wao....idiots!!!!
 
Back
Top Bottom