kipindi cha mitume wa kale, pesa haikuchukua nafasi kubwa katika kueneza neno la mungu kwakua kila kitu kilikua kinapatikana pasipo hitaji la pesa, mitume walikua wanatembelea punda, ngamia au kwa miguu.
kwa sasa mambo yamebadilika wachungaji, mapadre wanatembelea magari, zamani kulikua hakuna huduma ya maji ya kulipia wala umeme, shughuli zote kwenye masingagogi na makanisa watu walikua wanajitolea lakini sasa makanisa yanaajili na wanalipa mishahara, ata mwanakwaya haimbi bila kupewa pesa.
usafiri, chakula, maji, umeme huduma za television na matangazo vyote vinahitaji pesa. lazima wenye makanisa watumie njia iyo kupata pesa ili makanisa yao yaendelee.
KWA DUNIA YA LEO HAKUNA DINI YOYOTE ISIYOHITAJI PESA KUJIENDESHA.