USHUHUDA : Manabii wanaouza maji na mafuta yaliyoombewa…

USHUHUDA : Manabii wanaouza maji na mafuta yaliyoombewa…

Kama huyu nabii yupo pale sabasaba anawauzia maji na mafuta waumini wake Manyumbu
tapatalk_1527660947819.jpg
 
hakunaga huduma ya kiroho kwenye biblia inauzwa kila kitu ni BURE umepewa Bure na wewe unatoa Bure ukiona mtumishi anauza huduma za kiroho ujue anatoka kwa IBILISI SHETANI
kipindi cha mitume wa kale, pesa haikuchukua nafasi kubwa katika kueneza neno la mungu kwakua kila kitu kilikua kinapatikana pasipo hitaji la pesa, mitume walikua wanatembelea punda, ngamia au kwa miguu.
kwa sasa mambo yamebadilika wachungaji, mapadre wanatembelea magari, zamani kulikua hakuna huduma ya maji ya kulipia wala umeme, shughuli zote kwenye masingagogi na makanisa watu walikua wanajitolea lakini sasa makanisa yanaajili na wanalipa mishahara, ata mwanakwaya haimbi bila kupewa pesa.
usafiri, chakula, maji, umeme huduma za television na matangazo vyote vinahitaji pesa. lazima wenye makanisa watumie njia iyo kupata pesa ili makanisa yao yaendelee.
KWA DUNIA YA LEO HAKUNA DINI YOYOTE ISIYOHITAJI PESA KUJIENDESHA.
 
Siku hizi kuna mtindo umezuka mtaani hasa Jijini Dsm !

Kun manabii wanauza maji na mafuta ya kupaka yaliyoombewa kwa waumini wake. Unakuta maji chupa moja inauzwa TZS 15.000 na mafuta ya kupaka huuzwa mpaka TZS 50.000.

Watu wananunua sana hizo products. Na hao watumishi wa MUNGU wanapiga sana biashara mjini.

Mifano halisi ni hawa ambao wana Television zao au wanalipia matangazo yao moja kwa moja.

Kama Mch. Suguye na Mzee Wa Upako.

Mwenye ushuhuda wa maajabu au uponyaji alioupata atupatie tafadhari!
Unapinga kazi na nguvu ya mafuta?
 
Wajinga ndio wanaoliwa mzee hakunaga huduma ya kiroho kwenye biblia inauzwa kila kitu ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE ,umepewa Bureeeeeeeeeeeee na wewe unatoa Bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukiona mtumishi anauza huduma za kiroho ujue anatoka kwa IBILISI SHETANI
Ni askari gani aendaye vitani kwa gharama zake mwenyewe?
Ni wapi rozari zinagawiwa bure au Biblia au misale ya waumini?
 
zama zimebadilika kipindi cha yesu pia pesa ilihitajika ndyo mana yuda alikuwa mshka hazina fikiri walikuwa wanazipata wapi?Je garama za kipindi kile ilikuwa km kipindi hiki lakin bado walikuwa wanahitaji pesa pia mitume nao pia ukisoma matendo ya mitume na kisa cha petro na anania ndyo utajua umuhimu wa pesa na kazi ya MUNGU
 
Nikipita Mwenge vinyago unakuta watu na machupa unasema wametoka Tanzanite Tower kufanya mazoezi kumbe ni buldoza kawabebesha machupa....
 
Kuna dada mmoja Namfahamu, Alifanya kazi takriban miaka 18, Na alikuwa kitengo Kizuri, lakini alikuwa ni mtu Wa starehe na kuvionga Vibenten akaja kufukuzwa kazi mwaka 2014 mpk sasa hajapata kazi kapigika kisawasawa ubaya hakujenga Kwa kukaa hana . Sasa anauza mafuta ya upako 15000. Ananunua olive oil 4000 . Anauza 15000 anasema Hayo Mafuta ukipaka Ukiwa unaenda kuomba kazi au interview ushapata.......
 
Nikionaga hivyo huwa natamani hata kulia...
Yesu alipokuwa akienda kusulubiwa wanawake wa Jerusalem waliangua kilio kumlilia Yesu anavyoumia.Yesu akasema acheni umbeya jililieni nafsi zenu na wanenu wambeya nyie.Mama yako wewe itakuwa ana undugu na hao wanawake wa Jerusalem wewe umechukua DNA ya mama yako mumbeya wewe jililie nafsi yako Na wanao
 
Ongeeni yote mpendavyo ila Suguye niacheni mwenyewe bora niitwe mjinga tena jinga ila hamjaniambia lolote kwa Suguye toeni povuu mpendavyo maji yake tutanunua na mafuta na kila atakachokisema kitanisaidia nabeba nimekubali kuwa mjinga povuu ruksa
 
Wajinga ndio wanaoliwa mzee hakunaga huduma ya kiroho kwenye biblia inauzwa kila kitu ni BUREEEEEEEEEEEEEEEE ,umepewa Bureeeeeeeeeeeee na wewe unatoa Bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukiona mtumishi anauza huduma za kiroho ujue anatoka kwa IBILISI SHETANI
Biblia zinatolewa bure? Vitabu kama Misale ya waumini,Tenzi za Rohoni,Nyimbo za Injili, Mwimbieni Bwana nk ,rozali,tasbihi,misalaba,sanamu za bikira Maria ,kuruani,DVD za mwakasege,vitabu vya wahubiri,Cd za waimbaji wa Injili kaswida nk vinapatikana bure?farisayo mjihesabia haki wewe?
 
Watu wajinga sana na wanaangamia kwa kukosa maarifa, unakuta mtu ana Phd anadanganywa na mchungaji mwenye cheti cha for four.. Jamani someni biblia msidanganywe!..hakuna sehemu Yesu ameponya kwa kutoza fedha!
 
Yesu alipokuwa akienda kusulubiwa wanawake wa Jerusalem waliangua kilio kumlilia Yesu anavyoumia.Yesu akasema acheni umbeya jililieni nafsi zenu na wanenu wambeya nyie.Mama yako wewe itakuwa ana undugu na hao wanawake wa Jerusalem wewe umechukua DNA ya mama yako mumbeya wewe jililie nafsi yako Na wanao
Unawashwa ehhh... ???
 
Biblia zinatolewa bure? Vitabu kama Misale ya waumini,Tenzi za Rohoni,Nyimbo za Injili, Mwimbieni Bwana nk ,rozali,tasbihi,misalaba,sanamu za bikira Maria ,kuruani,DVD za mwakasege,vitabu vya wahubiri,Cd za waimbaji wa Injili kaswida nk vinapatikana bure?farisayo mjihesabia haki wewe?
Huu wote uliotaja ni uchafu tu, huduma ya kweli ya Mungu haitozwi fedha, inatakiwa anajitolea Tajiri mmoja tu na kufadhili,
Yesu hakuwahi kutoza mtu fedha
 
Hakuna mijitu milofa duniani kama myeusi....naunga mkono hoja ya Kanye West kuwa waafrika tulipenda pia kuwa watumwa kwa kukosa fikra...mnawezaje ku'dump akili zenu zote kwa pimbi mmoja?ndio maana ilikuwa rahisi ku-be colonized coz waafrika walijidai kkuijua na kuihusudu bible kama waliiandika wao....idiots!!!!
Msimsahau yule wa kikombe aliwapiga hadi mawaziri, aliwaingiza watu mkenge kirahisi sana kIsa ni bei rahisi mia tano.
 
Back
Top Bottom