Mkoa gani mkuu?Kipindi hiki vifo vyao covid 19 vimekuwa vingi na wagonjwa wameongezeka. Kuna family friend moja nyumba nzima waliolazwa na sasa wanaendelea matibabu nyumbani kwao na hakina anayeruhusiwa kuingia
ulienda morogoro?Mkuu Hali Kama ya mkeo imenikuta hapa nakohoa kikohozi kikavu juzi nilizidiwa wakanipa dozi ya malaria nikamaliza Jana nilitaka kudondoka bafuni.Nikawa napumua kwa shida kilichonisaidia Leo nimedamka kukimbia Kama km kadhaa kifua kmefunguka lakini hali si Hali.