Ushuhuda: Mama mtoto wangu anaendelea vizuri baada ya kuwekewa mashine ya kuzalisha mvuke kwenye mfumo wa hewa ndani ya hospitali moja mjini Dar

Mkuu, Mzigo Upo Wa Kutosha.Waulize Watu Wako Wa Karibu Wanaovaa White Coats Wale, Wakiwa Kazini.
 
Kwani ndege za kutoka south hazijazuiliwa, maana huko kimeshazaliwa kikali zaidi...
 
Kipindi hiki vifo vyao covid 19 vimekuwa vingi na wagonjwa wameongezeka. Kuna family friend moja nyumba nzima waliolazwa na sasa wanaendelea matibabu nyumbani kwao na hakina anayeruhusiwa kuingia
Mkoa gani mkuu?
 
Mkuu Hali Kama ya mkeo imenikuta hapa nakohoa kikohozi kikavu juzi nilizidiwa wakanipa dozi ya malaria nikamaliza Jana nilitaka kudondoka bafuni.Nikawa napumua kwa shida kilichonisaidia Leo nimedamka kukimbia Kama km kadhaa kifua kmefunguka lakini hali si Hali.
ulienda morogoro?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom