Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 573
Na hata Yesu alimsamehe Adamu lakin hakurudi bustani ya Eden, aisee Kama kweli unawapenda wanao furaha yako ni muhimu sanaa. Imagine angekua amefariki ungefanyeje?! Usijiendekeze please. Ukibaki utajikuta umereact kwa style nyingine hata ya kucheat afu atakuja bureeNashukuru sana. Mume wangu alikua kila kitu changu...sahivi ninavyomuona...kamwe na katu siwezi kurudisha lile pendo...nimejeruhika na kuathirika kimwili, kiroho na kiakili..