Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

Dada yangu au dada binamu huyo? ndo zenu wazawa mnawaza ngono!! hata pasipo stahili. sie twachapa kazi. na hamtuwezi kwa Elimu, Mapesa, na Utawala,

umesha mcheza ngoma lkn? au ndo mnapanga mipango ya vitenge, najua shati la Juliana unalo tayari, ili mkawakoge wazawa wenzenu!

wakati mnakata mauno ngomani, wakuja wanapita tu na mindinga yao! vuuuuuuu! am! am! matang'ana........*5.
x-mas. Maraaaaa! via Nairobi, raha baba mkuu, nyie ni hapo hapo tu maskini weee!, muende wapi sasa?

mkituona twapita utasikia ee!!!ee!!!ee.
Dada unajua kuchamba,kweli unyago uliutendea haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada unajua kuchamba,kweli unyago uliutendea haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajichanganya, na dada yako binamu huyo! kila mtu dada, dada!

Hivi mkuu unaweza chamba kavukavu? daaaa!! tutasikia mengi!

tuliza akili kwanza!! tupe uzoefu usiwe mchoyo! hivi utachambaje bila kopo lenye maji mkuu?
 
Mkuu unajichanganya, na dada yako binamu huyo! kila mtu dada, dada!

Hivi mkuu unaweza chamba kavukavu? daaaa!! tutasikia mengi!

tuliza akili kwanza!! tupe uzoefu usiwe mchoyo! hivi utachambaje bila kopo lenye maji mkuu?
Hahah kweli unyago umeu-master sister angu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Wansegamila,

Hongera sana mkuu.

Conclusion yangu ni moja siku zote. Mipango huanzia kichwani mwa mtu. Kuna ambaye angeweza kufikia hatua hiyo kwa zaidi ya 200m.. Kuna mwingine 300m.

Ungeamua kupitia mlengo wa kuezeka kwa vigae vya Nabaki Africa.. (Mbao za kuezeka vigae ni nyingi, kigae kimoja ni zaidi ya 23,000/= na pengine ungehitaji zaidi ya 600, na vile vikolokolo vyake vingine); ukiamua kutumia spanish tiles, ungeamua kujenga nyumba ya mawe tupu, ungeamua kusema ratio yangu ya cement kwa mchanga nataka iwe kali sana... Definately gharama zingeongezeka mara dufu.

So kila mtu apange kichwani mwake anachohitaji.

Tunashukuru sana kwa ushuhuda wako na kututia moyo.
Kabisa.naona na fundi kapiga kweli.plasta ya simple ghorofa inaondoka na karibu 3 milion za ufundi? Bado katumia gharama kubwa mnoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji106]
Nimependa sana uwekaji wako wa records.

Kwa faida ya sisi wengine na ya kwako pia baadae kwenye ujenzi wa nyumba nyingine, ningeomba utengeneze summary kwa ku-addup gharama zinazoendana na kuziweka kama summary, mfano:
1. Gharama za ufundi uashi ---- xxx
2. Gharama za tofali mpaka kufika hapo --- xxx
3. Gharama za cement --- xxx
4. Gharama za ufundi kupaua ---xxx
5. n.k nk

Hii itasaidia kufanya analysis nzuri ya kujua uhalisia wa bei na ubora wa items husika.

Otherwise, hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Mkandarasi alikua anakuja kukagua ubora kila baada ya hatua fulani na kushauri. Pia, kuna hatua za muhimu mfano kumwaga zege (la chini,katikati na la juu) ambazo pia alikua anakwepo. Halafu nilikua namlipa kama "per diem" kwa siku hizo ambazo anakwepo.
Cost zake zimejumuishwa kwenye ufundi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mbaya .wazee wa fursa wakijua wanakuja kukagua.watamchomoa pesa ndefu.vinginevyo litashushwa hilo jengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
I did my research.
Kulikua na mkandarasi ambae alikua anakuja kukagua hatua muhimu na kushauri as i said earlier... So yeye ndie nilimuandikisha kama mkandarasi wa huo ujenzi kwenye makaratasi ya kibali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom