Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

umenipa morari mkuu mwezi march naanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother!!!

Usijisahau ukajikuta unafanya ujenzi wa nyumba moja robo tatu ya uhai wako hapa duniani,jenga kile ulichoki-plan kichwani mwako siyo mwenzako kasema hapa anajenga nyumba ya ndoto yake basi na wewe utake kui-copy hiyo ndoto,never utapotea ndoto haikopiki mzee.

Kaa chini tuliza akili jamaa hapo inawezekana location aliyopo inamruhusu kujenga nyumba ya hivyo kutokana na urahisi wa kupatikana materials wakati sehemu uliyopo wewe fundi tu hiyo hela aliyoanza nayo haitoshi kumlipa.ujenzi siyo jambo la mchezo ukijenga nyumba ukaweza kuhamia hakika wewe ni mwanaume.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ninakupongeza sana, japo mtirirko wako wa kumbukumbu hauvutiii lakini sio neno lengo limefikiwa.
Je ulitumia consultant/mtaalamu wa ujenzi au fundi wa kawaida.

Kuna vitu vichache kama mkandarasi nakosa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu.
Sikutumia mkandarasi, bali fundi wa kawaida lakini ambae ana experience ya kujenga nyumba za kuishi za magorofa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Wansegamila,
Asante sana mkuu,I once said gorofa ni mipango tu kumbe kweli below 100 millions unapandisha kitu Cha heshima kabisa!!!..nimeona gharama zengine huko ni kubwa kuliko huku kwa makonda!!!..Naona hata 50 Millions unaweza maana nimeona project ya Nhc Mwongozo kigamboni Gorofa zao ni rahisi sana
 
Mmmh mbona bado umetumia mahela kibao?[emoji849]

Japo napenda ghorofa ila kwa mtindo huu, silitaki tena,

Btw naomba karamani kako basi nioshe oshe macho[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kwamba ghoroga kujenga ni gharama?

Nina rafiki anajenga Bunju katumia zaidi ya milioni 70 na hajamaliza halafu keshachoka anajuta kujenga ghorofa
 
Back
Top Bottom