hiyo 70 nyumba ya maana kabisa ya kawaida unaimaliza full na fence kabisa.Sio kwamba ghoroga kujenga ni gharama?
Nina rafiki anajenga Bunju katumia zaidi ya milioni 70 na hajamaliza halafu keshachoka anajuta kujenga ghorofa
Kati ya vitu vyote sijaqahi kutamani kujenga ghorofa au nyumba ya ghorofa kiujumla..
Sawa mkuu. HongeraWala usiwe na shaka.
Standards zote zilfuatwa katika yote hayo unayosema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama mleta uzi, kati ya vitu hajawahi kutamani kujenga ni nyumba ya chini. Ndiyo maana ameiita ndoto yake.Kati ya vitu vyote sijaqahi kutamani kujenga ghorofa au nyumba ya ghorofa kiujumla..
Lakini hakuna sehemu mleta uzi aliyosema hivyo bali ni maneno yako mkuu...Ni kama mleta uzi, kati ya vitu hajawahi kutamani kujenga ni nyumba ya chini. Ndiyo maana ameiita ndoto yake.
Labda sababu nimeyazoea kuyaona ila binafsi sijawiwa..kabisa...Mimi niliwah sema nikizipata hela najenga ghorofa jaman nizeekee mle!
Labda sababu nimeyazoea kuyaona ila binafsi sijawiwa..kabisa...
kweli una moto hadi umerudia reply mara tano😀😀Had raha jamani!hongera sana !ia naona huko mchanga ni bei eh?maana huku ni 60000 trip 1!
Had raha jamani!hongera sana !ia naona huko mchanga ni bei eh?maana huku ni 60000 trip 1!
Hii inakuwaje mkuu,na haina tofauti yoyote ya ubora na hizi tulizozoea?Dr. Wansegamila, tumia jk wall puty kuskim itapunguza gharama... kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana CCM bana.We ni kabila gani ndugu hadi uzuzuke na ghorofa,ghorofa maana yake ni nyumba mbili au tatu kwa moja mbona wengi umiliki zaidi ya 10 na si ghorofa