Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,671
- 8,233
Mimi nilikuwa na ramani yangu kujenga chumba kimoja Master juu na sehemu ya kupumzikia pembeni yake. Engeneer akaniambia hapa chini kitako kinachobeba floow ya hiyo ya juu ni sawa na nyumba moja. Hiyo nguzo moja inachimbwa mita 1 kwenda chini,na upana huo. Nguzo moja inakula cement mifuko mi5 kwenye kitako tu,bado kusimamisha nondo. Hiyo ni nguzo moja. Kwa hesabu hizo tu,nikasitisha juu,nikaishia kujenga ya chini tu ya vyumba vi4,lakini nzuri.Umenena
Umenikumbusha nilipoanza ujenzi wa nyumba ramani yangu ni ghorofa moja juu Kama ya mkuu.nilijua kwamba nguzo nne tu zitatosha kwa ajili ya hicho chumba cha juu.Engeneer akaniambia zinatakiwa nguzo 17 nilishtuka ila nilimwelewa
Sent using Jamii Forums mobile app